Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Aliekuwa CEO wa Simba amjibu Boss wake wa zamani MO Dewji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malaya mwenye machungu. Kakopwa kipochi manyoya na Kanjibhai.Ila mo ana pesa zote kapauka sana ile Simba day anaonekana kama sio boss vile, huyu jamaa kama Hali poda sijui....Yale Yale ya kina kanji..... Ila haka ka babra boss kubwa inaonekana alikapiga pipe hakukatimizia ahadi ndo maana kanaumia sana... Maana chupli chupli nae janja janja nyingi....
Mazingaombwe au sio😂😂😂 boss kulia liaAliekuwa CEO wa Simba amjibu Boss wake wa zamani MO Dewji.View attachment 2713693
Hawa nao wana nafasi zao peponiMbumbumbu watapita Kama hawaoni kimya kimya...
.Aliekuwa CEO wa Simba amjibu Boss wake wa zamani MO Dewji.View attachment 2713693
Hamzidi tajiri la dunia Elon musk....Ila huyu Mo nina mashaka hasa na utajiri wake. Jamaa ana mipasho kama kina Mwijaku. Kutwa kujibizana mitandaoni.
Nahisi wale watekaji walimfanya mchezo mbaya kuathiri uanaume wake.
Elon ni mmiliki wa Twitter ana create controversy kwa ku tweet vitu vya ovyo saa nyingine ili ku promote mtandao wake.Hamzidi tajiri la dunia Elon musk....
Au wewe siyo mfuasi wa Twitter x?
Yaani wanaume na kengele zao zinaning'inia wako bize kumfuatilia huyu demu 24/7Yani Yanga mnatia aibuuu...kwahyo mnakula chabo kwny tweets za watu then mnakuja na majibu yenu
Hapana, Elon Musk naye ni kama mzaramo tu. Hajaanzia mipasho twitter.Elon ni mmiliki wa Twitter ana create controversy kwa ku tweet vitu vya ovyo saa nyingine ili ku promote mtandao wake.