Barbara anaiachaje Simba? ( Exit Plan)

Barbara anaiachaje Simba? ( Exit Plan)

Zed

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2009
Posts
505
Reaction score
387
Tangu Barbara atoe barua ya kujiuzulu hakuna habari yoyote yakuonyesha anaichaje simba ( exit plan) Usajili unangojea dakika za mwisho halafu wachezaji hawajengi muunganiko. Ni vema mtu anapoondoka aachie ngazi watu wafanye kazi.
 
Kwani ni lazima kusajili? Tangu mlipokariri neno 'muunganiko' basi hamshikiki
 
Tangu Barbara atoe barua ya kujiuzulu hakuna habari yoyote yakuonyesha anaichaje simba ( exit plan) Usajili unangojea dakika za mwisho halafu wachezaji hawajengi muunganiko. Ni vema mtu anapoondoka aachie ngazi watu wafanye kazi.
Alichangisha sinia la kujenga uwanja. Je zilipatikana shilingi ngapi? Uwanja umeshaanza kujengwa?

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom