Na ww umetuonesha kama unayajua majina ya kofiiiYeah age imeenda,,aliongea mwenyewe kwenye interview Leo Tena Clouds FM..walimuuliza kuhusu Experience yake kwenye Show za Papaa Fololo,Grand Mopao,The Shakespeare, King of fashion.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ww umetuonesha kama unayajua majina ya kofiiiYeah age imeenda,,aliongea mwenyewe kwenye interview Leo Tena Clouds FM..walimuuliza kuhusu Experience yake kwenye Show za Papaa Fololo,Grand Mopao,The Shakespeare, King of fashion.
Vipi upande wa TV [emoji342] ni chogo au flat screen bandugu? Ni mimi kwa niaba ya Shehe wangu Kipoozeo....Toto tamu hiliView attachment 1699768
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀Ww usimsababishie mwezako kibarua kikaota nyasi.. chakula ya bodi hiyo tangu unasoma London School Of Economics
Hata mimi nimefatilia majina hayo wengi ni huko spain na mexicoMi nilisikiaga ni mhispania.
Mama yake atakuwa mswahilina maana nayeye kama ana uswazi kidogoBarbara Gonzalez, amezaliwa jijini Dar es Salaam miaka kadhaa iliyopita, baba yake akiwa ni raia wa Colombia na Mama Mtanzania,
Naongezea Quadracolaman, Sarkozy, Donald Trump, MMNa ww umetuonesha kama unayajua majina ya kofiii
Nadhani mfano ulitolewa kwa mkundeNaskia Manara ndio anakula hapo
😷 😷 😷 😷 😷 😷 😷 😷 😷 😷 😷 😷 😷Nadhali mfano ulitolewa kwa mkunde
Kuna ufundi wa kucheza na type izo,kuna mshipa flani wa hisia upo shingoni unacheza nao.Tatizo king'amuzi hakuna
Mbona wewe sura ya mjomba hatukusemiMtu mwenyewe hana chura loooh
Hii pisi ni kali.
Siku hizi kuna maajabu sana Dume zima linajiita JaneMtu mwenyewe hana chura loooh