Barbara Gonzales ni mtu wa asili ya wapi?

Barbara Gonzales ni mtu wa asili ya wapi?

kwa hiyo uchukue demu kisa lina matako kama sanchoka halafu kichwani akili za samaki? barbra atanizalia mtoto mzuri na mwenye akili za kuchaji kama mama yake
Mkuu wewe akili z mwanamke za Nini? Chukua mwanamke Mzuri mwenye msambwand akili utatumia zako
 
Back
Top Bottom