Barbara Gonzalez aliwekwa lock-up polisi masaa 8 tar 20/01/2022

Ingekuwa rafu ya uwanjani isingekuwa tatizo,muathilika kaamua kulishughulikia kama jinai.Lugha chafu siyo swala la mpira.Ni sawa na kumchima na kisu mchezaji mwenzio useme ni swala la mpira.
Kwa nn ichukue mda mrefu hivi?
 
Hayo sio mambo ya uwanjani bali mambo binafsi...

Matusi na mambo ya soka wapi na wapi?!

Ndo maana, hata kwenye Customer Service tunakoambiwa "The Customer Is Always Right" huo u-right wako unaishia kwa taasisi na products zake na sio kwa staff!!

Ukinikuta pale Kaunta ya CRDB, toa lugha zote za ovyo dhidi products, services, n.k lakini ukifikia kusema "Na wewe Teller ni mpumbavu sana, mshenzi mkubwa".... HELL NO, the Customer Is Always Right hapo haikulindi!!

Na hata taasisi yenyewe inaweza kukufungulia mashtaka kwa kum-harass mfanyakazi wake!!
 
GSM ametumwa kuja kuua mpira Tanzania. Najiulizaga tu hivi Malawi ametuacha wapi? Kumbe toka aje GSM kila kitu hakiendi hata Yanga huko hakuna kitu zaidi ya kuua viwango vya wazawa tu.
Jiesiemu anaingiaje hapa au ndiyo Yale maneno ya Rage yanajidhihilisha?
 
Jiesiemu anaingiaje hapa au ndiyo Yale maneno ya Rage yanajidhihilisha?
Kwani haya yote yanawezeshwa na nani? Juesiemu ameungana na TFF kuikandamiza Simba tunakoenda tutakosa timu ya ushindani ya Taifa na hatutakuwa na uwakilushi bora CAF. Simba ni mpira wa Tanzania hao wengine 2B tayari TFF anekuwa submissive sana kwa GSM
 
Umekuwa sio mpira tena, kwa sasa ni kuwindana na kukomoana. Sidhani kama mwenendo huu ni afya kwa Taifa. Limeanza kwa viongozi litaenda kwa mashabiki.

Kuna moto utawaka sijui utazimika vipi.
Wewe kampige shabiki wa Mtibwa uwanjani akupeleke peleke ukajitetee tilikuwa uwanjani kama watakuachia. Shabiki Unafanya jinai uwanjani halafu unataka upewe Kadi na refa?
 
Ndio maana FIFA wameweka kipengere cha Serikali kutokuwa na mikono kwenye Football. Mpira wa miguu upo na kanuni na sheria zake. Ndio maana barbra alitozwa faini na TFF. Waliompeleka police ni jiesiemu
We nae jaribu kufikiria kwa kutumia ubongo bac hata mara moja tu. Unaonekana una chuki zako binafsi na GSM tu huna lolote. Kwahiyo GSM ndo kafungua hiyo kesi?
 
Next time ajifunze lugha za staha walimwengu wanajua shari na wanazipenda shari kweri-kweri.

Yeye alikua anatukana tu kumbe mwenzake anamrekodi.
 
Umekuwa sio mpira tena, kwa sasa ni kuwindana na kukomoana. Sidhani kama mwenendo huu ni afya kwa Taifa. Limeanza kwa viongozi litaenda kwa mashabiki.

Kuna moto utawaka sijui utazimika vipi.
Yes matusi aliyomtukana huyo dada wa TFF ilikua sio mpira tena bali ni jinai.

Babra alikua anatukana tu kumbe mwenzake anamrekodi.
 
Mkumbushe mchezaji wa CDA DODOMA "aliekula mvua moja"(Nadhani ni marehemu kwa sasa pamoja na timu yake), baada ya kumpiga mchezaji wa timu pinzani nje ya pitch lakini ndani ya kiwanja, baada ya mpira kuwa ulishaisha.
 
Hii kesi Ni jinai na aliyepeleka kesi hiyo siyo tff Ni mtu personal ambaye alifanyiwa jinai hiyo. Hivyo tusilete uchochezi hapa. CEO akizingua Sheria inamzingua tu.
Uko sahihi
 
Kwani lini tulikua nayo hio timu ya ushindani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…