Barbara Gonzalez aliwekwa lock-up polisi masaa 8 tar 20/01/2022

Barbara Gonzalez aliwekwa lock-up polisi masaa 8 tar 20/01/2022

Kituo gani? Kweli tukio hilo lingepita kimyakimya mpaka tuletewe hapa siku 3 baadaye!!?
 
Haikuwa sehemu ya matukio ya mchezo? Vipi uwanjani, mchezaji akimng'ata mwanzake sikio kesho yake atampeleka mahakamani?
Hii kesi Ni jinai na aliyepeleka kesi hiyo siyo tff Ni mtu personal ambaye alifanyiwa jinai hiyo. Hivyo tusilete uchochezi hapa. CEO akizingua Sheria inamzingua tu.
 
Haikuwa sehemu ya matukio ya mchezo? Vipi uwanjani, mchezaji akimng'ata mwanzake sikio kesho yake atampeleka mahakamani?
Mfano wako Ni irrelevant mkuu, Kwani shabiki wa mpira akifanya fujo uwanjani hiyo Ni jinai au si jinai kisheria, The same happened to so called CEO. Mchezaji akifanya Lisa akiwa mchezoni anaadhibiwa kikanuni. Ila mshabiki ufanye kosa la kijinai kiwanjani, hapo mkondo wa Sheria za nchi unachukua nafasi yake. Nadhani umeelewa Hadi hapo.
 
Ndio maana FIFA wameweka kipengere cha Serikali kutokuwa na mikono kwenye Football. Mpira wa miguu upo na kanuni na sheria zake. Ndio maana barbra alitozwa faini na TFF. Waliompeleka police ni jiesiemu
 
🤣
 
Attachments

  • 20220124_175358.jpg
    20220124_175358.jpg
    50.9 KB · Views: 14
Wivu tu.
Mwanamke una sura mbaya na roho yako inakuwa mbaya vile vile.

Naipenda Simba ila hako kabinti sikapendi,sijui kwanini?Nilipoona Uzi huu nikajisemea "si wangekapiga ndani hata siku 3"!
 
Ndio maana FIFA wameweka kipengere cha Serikali kutokuwa na mikono kwenye Football. Mpira wa miguu upo na kanuni na sheria zake. Ndio maana barbra alitozwa faini na TFF. Waliompeleka police ni jiesiemu
Swali rahisi, nini kinakuja kwanza? Sheria na katiba ya nchi au katiba ya tff na fifa?

Maana yake hata hiyo michezo ipo na inachezwa sababu haikiuki sheria za nchi. Mfano mshabiki au mchezaji amchome mwenzie kisu alaf afariki uwanjani wakiwa kwenye michezo, unafikiri hiyo ni kesi ya tff au fifa tena? Same applies kwenye hayo makosa mengine ya jinai uwanjai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu CEO wa Simba akatae suala la logo ya GSM,huko TFF kumekuwa na agenda za kipimbavu sana dhidi ya Barbara.

Wameamua kuifanya issue hii kuwa personal lakini huku wakienda mbali zaidi kutaka kuathiri ufanisi wa Simba.

Nashangaa kuona watu wanahusisha jambo la mtu binafsi dhidi ya yanga na GSM.Tafuteni mchawi wenu lkn sio kuhusisha na club zingine
 
Swali rahisi, nini kinakuja kwanza? Sheria na katiba ya nchi au katiba ya tff na fifa?

Maana yake hata hiyo michezo ipo na inachezwa sababu haikiuki sheria za nchi. Mfano mshabiki au mchezaji amchome mwenzie kisu alaf afariki uwanjani wakiwa kwenye michezo, unafikiri hiyo ni kesi ya tff au fifa tena? Same applies kwenye hayo makosa mengine ya jinai uwanjai.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka nikujibu au nisikujibu!? Kumpiga mtu ni kosa au siyo kosa according to katiba unayoisema!?
Je, Djuma Shabban akashitakiwa kwa kutenda kosa la jinai na ushahidi wake
 
Aka kamchepuko tangu kameongwa timu basi kichwa kimejaa mpaka kinataka pasuka
 
GSM ametumwa kuja kuua mpira Tanzania. Najiulizaga tu hivi Malawi ametuacha wapi? Kumbe toka aje GSM kila kitu hakiendi hata Yanga huko hakuna kitu zaidi ya kuua viwango vya wazawa tu.
GSM anahusika vip?....Huyo Gonzeleeeee kwann alimrekodi mwanamke mwingine na kuzisambaza au alijua yupo juu ya sheria
 
Mi najuiliza.

1. Kwani uwanja wa Mkapa ni mali binafsi ya huyo Mshitaki ?

2.Au Pale VIP na mali ya huyo aliyeshtaki ?

3. Huyo aliyeshtaki hapo uwanjani alikuwepo kama ofisa wa TFF au kama yeye binafsi yaani aliyenunua tiketi ya kukaa hapo VIP ?

4. Wote tunajua kuwa Babra aligombana na maafisa wa TFF na sio watu binafsi na akahukumiwa na TFF na kulipa adhabu ya usumbufu kwa maafisa wa TFF sasa mashta mengine yanatoka kwa mwenye majukumu yepi ?

5. Shtaka lolote la kibinafsi linafunguliwa Mahakamani, sasa hapo Polisi wanahusikaje ?

6. Hivi Polisi hawamjui Barbra hadi wamuweke ndani masaa manane ?

7. Hivi Barbra hakuhojiwa hapo kituo cha polisi ili ajitetea ili asiwekwe mahabusu ?

8. Kwanini Polisi hawakumpa nafasi Barbra ya kujitetea ?

9. Ile faini ya adhabu ya Laki tano Babra alimlipa nani na kwanini ?

10. TFF ni Shirika binafsi au ni la uma ?

NB.

1. Kwanini Bodi ya Ligi inavifungia viwanja mara tu ya timu ya Simba kucheza ktk viwanja hivyo vya Mbeya City na Mtibwa ?

2. Ni Nani aliye ruhusu hivyo viwanja vibovu kuchezewa mechi za ligi bila kujua ubora wake ?

Bado nina maswali mengi sana ila naomba kwanza nijibiwe haya niliyoyauliza.
 
C.E.O wa Simba aliitwa katika kituo cha polisi jijini hapa dsm kwa makosa ya kumtolea lugha chafu afisa wa TFFsiku ya mechi ya simba na yanga 11/12/2021.

Je, mambo ya uwanjani yanaenda polisi?

Mimi nilifikiri jambo limeisha baada ya bodi ya ligi kutoa faini ya 500,000/=

Nini mawazo yako mdau wa michezo.
Ingekuwa rafu ya uwanjani isingekuwa tatizo,muathilika kaamua kulishughulikia kama jinai.Lugha chafu siyo swala la mpira.Ni sawa na kumchima na kisu mchezaji mwenzio useme ni swala la mpira.
 
GSM ametumwa kuja kuua mpira Tanzania. Najiulizaga tu hivi Malawi ametuacha wapi? Kumbe toka aje GSM kila kitu hakiendi hata Yanga huko hakuna kitu zaidi ya kuua viwango vya wazawa tu.
Frastration =Tafurani
Jina limesadifu mahudhui.
 
Hawa Jamaa Wanatafuta Visababu Visivyo Vya Maana Kujificha Kukwepa Ukweli Kuwa Wana Timu Inayojitafuta Bado.
 
Back
Top Bottom