Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Kituo gani? Kweli tukio hilo lingepita kimyakimya mpaka tuletewe hapa siku 3 baadaye!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili umuibie mume?Naipenda Simba ila hako kabinti sikapendi,sijui kwanini?Nilipoona Uzi huu nikajisemea "si wangekapiga ndani hata siku 3"!
Hii kesi Ni jinai na aliyepeleka kesi hiyo siyo tff Ni mtu personal ambaye alifanyiwa jinai hiyo. Hivyo tusilete uchochezi hapa. CEO akizingua Sheria inamzingua tu.
Mfano wako Ni irrelevant mkuu, Kwani shabiki wa mpira akifanya fujo uwanjani hiyo Ni jinai au si jinai kisheria, The same happened to so called CEO. Mchezaji akifanya Lisa akiwa mchezoni anaadhibiwa kikanuni. Ila mshabiki ufanye kosa la kijinai kiwanjani, hapo mkondo wa Sheria za nchi unachukua nafasi yake. Nadhani umeelewa Hadi hapo.Haikuwa sehemu ya matukio ya mchezo? Vipi uwanjani, mchezaji akimng'ata mwanzake sikio kesho yake atampeleka mahakamani?
Ogopa matapeli, Simba ambaye hana mkia hayupo na kamwe hajawahi kuwepo na hatakuwepo kabisa duniani kaka.Bado Simba atakuwa SIMBA tuu pamoja na figisu zote hizi
Ndio maana FIFA wameweka kipengere cha Serikali kutokuwa na mikono kwenye Football. Mpira wa miguu upo na kanuni na sheria zake. Ndio maana barbra alitozwa faini na TFF. Waliompeleka police ni jiesiemuMfano wako Ni irrelevant mkuu, Kwani shabiki wa mpira akifanya fujo uwanjani hiyo Ni jinai au si jinai kisheria, The same happened to so called CEO. Mchezaji akifanya Lisa akiwa mchezoni anaadhibiwa kikanuni. Ila mshabiki ufanye kosa la kijinai kiwanjani, hapo mkondo wa Sheria za nchi unachukua nafasi yake. Nadhani umeelewa Hadi hapo.
Bila ushahidi thabiti haya maelezo yako hayana tofauti na zile hadithi za Juma na Uledi za darasa la 5 la shule ya msingi.GSM anatakatisha pesa...hajali kitu
Bila ushahidi thabiti haya maelezo yako hayana tofauti na zile hadithi za Juma na Uledi za darasa la 5 la shule ya msingi.
Naipenda Simba ila hako kabinti sikapendi,sijui kwanini?Nilipoona Uzi huu nikajisemea "si wangekapiga ndani hata siku 3"!
Swali rahisi, nini kinakuja kwanza? Sheria na katiba ya nchi au katiba ya tff na fifa?Ndio maana FIFA wameweka kipengere cha Serikali kutokuwa na mikono kwenye Football. Mpira wa miguu upo na kanuni na sheria zake. Ndio maana barbra alitozwa faini na TFF. Waliompeleka police ni jiesiemu
Nashangaa kuona watu wanahusisha jambo la mtu binafsi dhidi ya yanga na GSM.Tafuteni mchawi wenu lkn sio kuhusisha na club zingine
Unataka nikujibu au nisikujibu!? Kumpiga mtu ni kosa au siyo kosa according to katiba unayoisema!?Swali rahisi, nini kinakuja kwanza? Sheria na katiba ya nchi au katiba ya tff na fifa?
Maana yake hata hiyo michezo ipo na inachezwa sababu haikiuki sheria za nchi. Mfano mshabiki au mchezaji amchome mwenzie kisu alaf afariki uwanjani wakiwa kwenye michezo, unafikiri hiyo ni kesi ya tff au fifa tena? Same applies kwenye hayo makosa mengine ya jinai uwanjai.
Sent using Jamii Forums mobile app
GSM anahusika vip?....Huyo Gonzeleeeee kwann alimrekodi mwanamke mwingine na kuzisambaza au alijua yupo juu ya sheriaGSM ametumwa kuja kuua mpira Tanzania. Najiulizaga tu hivi Malawi ametuacha wapi? Kumbe toka aje GSM kila kitu hakiendi hata Yanga huko hakuna kitu zaidi ya kuua viwango vya wazawa tu.
Ingekuwa rafu ya uwanjani isingekuwa tatizo,muathilika kaamua kulishughulikia kama jinai.Lugha chafu siyo swala la mpira.Ni sawa na kumchima na kisu mchezaji mwenzio useme ni swala la mpira.C.E.O wa Simba aliitwa katika kituo cha polisi jijini hapa dsm kwa makosa ya kumtolea lugha chafu afisa wa TFFsiku ya mechi ya simba na yanga 11/12/2021.
Je, mambo ya uwanjani yanaenda polisi?
Mimi nilifikiri jambo limeisha baada ya bodi ya ligi kutoa faini ya 500,000/=
Nini mawazo yako mdau wa michezo.
Frastration =TafuraniGSM ametumwa kuja kuua mpira Tanzania. Najiulizaga tu hivi Malawi ametuacha wapi? Kumbe toka aje GSM kila kitu hakiendi hata Yanga huko hakuna kitu zaidi ya kuua viwango vya wazawa tu.