Barbara Gonzalez aliwekwa lock-up polisi masaa 8 tar 20/01/2022

Sasa TFF walimuadhibu kwa sheria gani?

Si wangeshauri kuwa hilo ni kosa la kipolisi hivyo liende huko.

Bumbavuu.
 
Katika mechi 12 msimu huu Simba imepata penati 7, katika hizo 7 wamefunga mbili wamekosa 5, GSM anahusikaje hapo?!!
 
Sasa TFF walimuadhibu kwa sheria gani?

Si wangeshauri kuwa hilo ni kosa la kipolisi hivyo liende huko.

Bumbavuu.
Adhabu ya tff haiondoi jinai yake mkuu. Tff walimuadhibu kwa mujibu wa kanuni za ligi na police wanafanya kazi under Sheria za nchi
 
[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!![emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…