Barbara Gonzalez anamaanisha nini? Kuna nini Simba?

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
20230712_143715.jpg
 
Lakini huyu si aliaga kwa amani?? Hata angekua nani, kucheat kwa kudate na Rais wa team pinzani kuwezaa?

Lakini mbna akipata Ulaji CAF, kupitia danga lake LA Morocco, na mimba nkajua ya huko, kuja kusikia ni ya kipara ngoto wa units la luku. Ila Babraa nae yumo kwa kupangisha foleni.
 
Unamaanisha mhandisi alifikia hatua ya kua na rafiki kipenzi kule wekundu?
 
Back
Top Bottom