Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
- Thread starter
- #21
We binti wewe, hujambo!Lakini huyu si aliaga kwa amani?? Hata angekua nani, kucheat kwa kudate na Rais wa team pinzani kuwezaa?
Lakini mbna akipata Ulaji CAF, kupitia danga lake LA Morocco, na mimba nkajua ya huko, kuja kusikia ni ya kipara ngoto wa units la luku. Ila Babraa nae yumo kwa kupangisha foleni.