Barbara Gonzalez anamaanisha nini? Kuna nini Simba?

Aisee hii habari iliwekwa lakini ilitolewa fasta kumbeeee mmmh.
[emoji23][emoji23][emoji23] sijui anakasirika nn yaan, yeye mbna alimtoa knock out fashionista msomi kwa De Boss, ila yeye alitaka alitumwa acheat?
 
Dah kuna tabia ukiwa nayo kuiacha ni ngumu sana
 
Kumbe ya kipara ngoto wa unit is no longer a secret.
He bought for her VXR V8 2023
 
Unasemea Sope, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo ndo yoyote anampaa, halijui kukataa.

Si aliendaga Dubengaa, kuipa promo team ya ukwaju, kabla hajaangukia kidimbwi Fc, kumbe CEO alimdonyoa

Woiiiiiiiii

Na lile jamaa lililosema litamzalia CEO wa wachafu, nalo nasikia linadokolewa siku hizi
 
Binam amepewa bure anagawa bure
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila Dogo...
Hivi kweli Mtoto ni wa Kipara ngoto?

Maana siyo kwa Ushoga ule na Dada mtu yule wa South.
 
Choo cha sitendi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila Dogo...
Hivi kweli Mtoto ni wa Kipara ngoto?

Maana siyo kwa Ushoga ule na Dada mtu yule wa South.
Dyadyaaa Babra kanichoshaa sasa kipara ngoto ana hadhi gani ya kuwa nae? Labda kafuata pesa, ila kaniudhii mnoo.

Mwenyewe had sahivi bado siamini km wake kweli, mtoto mwenyewe ana mficha, amuoneshe tumuonee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaan km kweli wa kipara ngotoo, ntamdharau mnoo, bora awe waa muarabu koko wa Rabat hukoo. Aaaah
 
Kumbe ya kipara ngoto wa unit is no longer a secret.
He bought for her VXR V8 2023
Yaan mie kaniboaa mnoo, sasa kipara ngoto wa kumzalia kweli?
Sijui hata alikwama wapii, ndo hela zenyewe zilimleweshaa uwiiiiih.
 
Na lile jamaa lililosema litamzalia CEO wa wachafu, nalo nasikia linadokolewa siku hizi
Hiyo sina hakika, ila hater wa Mwambinoo ndo kweli anabatuliwa na mdogo ake boss, mwenyewee ana muita boss mtoto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…