Barbara Gonzalez kutambulishwa leo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba

Barbara Gonzalez kutambulishwa leo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba

Watanganyika katika ubora wenu!! Umbea na ujinga tu! Sasa Barbra kuzaa ni kitu cha ajabu!! Si ni mwanamke uyo!
JF imevamiwa na low IQ mada inazungumzia Barbra kurudi Simba! Mtu anakuja na kusema Barbra amezaa na anaweka na emoji ya kucheka kabisa!! Kuna mijitu mijinga sana nchi hii.
Mkuu naomba buku hapo
 
Ikawe hivo binafsi namkubali Yuko real, anakuwaga real hafuati maslah yake binafsi.
 
Watanganyika katika ubora wenu!! Umbea na ujinga tu! Sasa Barbra kuzaa ni kitu cha ajabu!! Si ni mwanamke uyo!
JF imevamiwa na low IQ mada inazungumzia Barbra kurudi Simba! Mtu anakuja na kusema Barbra amezaa na anaweka na emoji ya kucheka kabisa!! Kuna mijitu mijinga sana nchi hii.
Hapo ndipo uwezo wao wa kufikiri unapoishia
 
KUNA kitu kinaendelea ndani ya Simba . Huenda kufikia leo yakatokea mabadiliko makubwa kwenye uongozi wa juu.
kama mambo yataenda sawa Leo au kesho Barbara Gonzalez atatangazwa kuwa Mwenyekiti na View attachment 3010814
Mna matarajio makubwa kama mlivyo kuwa mnaimba Luis Mis. arudi arudi karudi amewasaidia nini? Ndicho kitakacho mtokea huyu.
 
Back
Top Bottom