demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Huyu Binti atawaharibu kinoma pae Msimbazi.
Watu wengi waluo wahi fanya naye kazi wanasema bi mdada anapenda attention mithili ya samaki apendavyo Maji. Tangu aingie pale Klabuni amekuwa na wivu na namna Senzo anavyo zungumziwa sana na Media. Akafanya figisu zake Senzo akasepa.
Bado ikaonekana haitoshi, Media nyingi za Bongo zikawa zinaendelea kummulika Haji Manara. Kitendo hiko kimekuwa kikimkosesha sana raha kwa kipindi cha muda mrefu. Maana lengo lake kuu ni kuwa mtu maarufu pale Msimbazi kuliko mtu yeyote yule.
Sasa hivi anamchokonoa Manara, akijua wazi kabisa Manara akisepa sasa Luninga, TV na Redio zote zinakuwa zikimuangazia yeye tu.
Ninavyo ona huyu Binti atakinukisha sana pale Msimbazi, Itafika mahapa ili kuiokoa klabu Mo atatakiwa achague kati ya Mapenzi na Kabu.
Nasikia De la Boss ameahidi kama akifungwa na Yanga SC hapo tarehe 25 basi atatumia kichaka cha skendo ya Barbara na kuwaachia timu yako.
Ama kweli uhai wa mabadiliko kwenye timu yao bado unashikiliwa na watu wachache wenye nguvu nyingi.