Barbara Gonzalez na Tamaa ya Umaarufu

Kama una akili ya uchambuzi utaona wazi baada ya Babra kuingia Manara hana nafasi kabisa.
Relation maneja lazma awe na marketing skills na qualifications. Manara hana na amebaki kutumia mission town na ujanja ujanja. Msemaji domodomo hahitajiki kwenye mfumo wa corporate club.
Nilisema mwaka jana Manara aondoke vinginevyo ataondoka kwa aibu kubwa.
 
Manara umaarufu umekuja automatically,kwakuwa ni mswahili na mashabiki wengi sisi ni waswahili.

Vile vimipasho vyake basi mashabiki kwao ni burudani,lakini akikaa msemaji ambaye yupo serious mvuto utapotea haraka mno
 
Kwa tabia za Manara ni wazi yeye ndiyo anapenda umaarufu zaidi kuliko hata huyo Babra.
Sure kabisa Huyo manara ndio mpenda umaarufu

Usikute anaingile hata Mambo yasiyo muhusu kwa nafasi yake .

Amekaa kiswahili Swahili tu

Huyo Jamaa kwa lugha zake chafu mi Wala Sina cha kumtetea

Aende zake tu anajiona wa maana Sana hapo Simba
 
Mbna bvrbvra hana shida na mtu shida iko jangwani tuu mzee mpili cjui kawafanya nini utopolo tukane lake Tanganyika 25/7/2021 yanga akifa 3-1
 
Proposal ya kutongoza tu hawezi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Timu kubwa africa hazina cheo cha msemaji zina cheo kinaitwa team public relations and marketing director.. huyo ndie anaongelea timu kwenye media meetings na kufanya majukumu mengine ya timu upande wa kuitangaza timu na deals nzuri
Hivi manara anajua kimalikia kweli?
Naona hyo nafasi imemzidi uwezo afisa habari wa Simba daily kutukana Utopolo huo ni wastage of time, hafu kupata matangazo ya GSM Utopolo kavimba kichwa mi naona apumzike ili afanye vizuri Mambo yake personal
 
Manara ni mhujumu Simba atolewe tu huyu kwa kweli si anajiona bila yeye hamna simba
 
Timu kubwa africa hazina cheo cha msemaji zina cheo kinaitwa team public relations and marketing director.. huyo ndie anaongelea timu kwenye media meetings na kufanya majukumu mengine ya timu upande wa kuitangaza timu na deals nzuri
kwani manara kwanini asihamie Yanga au timu yeyote ile, kwani hana kazi nyingine ya kufanya zaidi ya kuwa mropokaji wa simba, na wanamlipa kwa kazi hiyo tu, hana uwezo kufanya kazi nyingine, na anavyotishia kuondoka ina maana ataenda kufanya kazi gani sasa mtaani, anawaringishia nini simba cha ziada ambacho akiondoka itakuwa imekula kwao? najiuliza tu.
 
Hivi manara anajua kimalikia kweli?
Naona hyo nafasi imemzidi uwezo afisa habari wa Simba daily kutukana Utopolo huo ni wastage of time, hafu kupata matangazo ya GSM Utopolo kavimba kichwa mi naona apumzike ili afanye vizuri Mambo yake personal
nadhani conflicts of interest kwenye swala la GSM ndiyo linamsumbua huyu mzungu mropokaji.
 
Simba ni kubwa kuliko mtu yoyote bana huyo manara asijione yeye ni Simba
 
Hapa mtani nakuunga mkono. Kama Simba inataka au inajiona ni taasisi kubwa lazima ihakikishe professionalism inazingatiwa. Mfanyakazi hawezi kuwa mkubwa kuliko Taasisi, haijawahi kutokea na kama ikitokea basi hiyo si taasisi.

Zipo Kampuni na taasisi zilizowahi kuwaondoa Wafanyakazi wake mahiri sana kwa sababu ya utovu wa nidhamu. Haiwezekani muajiriwa utoe hadharani mgogoro wa Kiofisi hadharani tena na vitisho juu.

Kwa hili la Manara nafikiri bado fikra zake ni kuwa Simba au Yanga ni kama chama cha siasa!

Hapa mtani mna mtihani, ama professionalism au funika kombe.
 
Manara hana nafasi katika corporate Simba, hata yeye analijua hili. Ila kwa sababu mpira wetu bado una mambo mengi ya "kiswahili" yasiyo na formula, Manara anayaweza haya. angepewa nafasi ndogo isiyo ya kitaasisi aendelee kupiga domo na waswahili wenzake. Na 700k anayopata inatosha kabisa kwa kazi hiyo.
Kama anafikiri yeye ndio kaipa umaarufu Simba (kama alivyosema kuwa kaijenga brand ya Simba) ajaribu kuenda kwenye taasisi nyingine aijenge tuone. Manara kuwa Simba ni kama samaki kwenye maji. Akitoka ...
 
Ukiona utopolo anaandika kumponda CEO aliyeifikisha simba robo fainali na kuchukua ubingwa wa bara mara 2 mfululizo ujue utopolo kabanwa spana na huyu mwanadada.
 
Manara hasifishiki mkuu..
Hoja zako hazina mshiko

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Timu kubwa africa hazina cheo cha msemaji zina cheo kinaitwa team public relations and marketing director.. huyo ndie anaongelea timu kwenye media meetings na kufanya majukumu mengine ya timu upande wa kuitangaza timu na deals nzuri
Sahihi kabisa mkuu,cheo cha manara sio msemaji labda tumpe uongozi kwenye vikundi vya washangiliaji.Lakini PR anatakiwa awe mtu professional na mwenye exposure ya kutosha.Na ndo maana kwa upeo wake mdogo hajui kuwa huwezi tenganisha taasisi na mfanyakazi wake ni sawa na kuwa mfanyakazi wa Voda lakini kutwa unapost vitu vya TIGO kwenye page zako alafu ukajitetea ni binafsi.wenzetu wamefika mbali kwenye accountability kiasi ukioa mke au ukiolewa na mme toka kwa taasisi shindani au pinzani unapigwa chini pamoja ni mambo yako binafsi.Manara anategemea awe PR wa Simba huku anaendelea kuwa balozi wa akina GSM au AZAM media alafu mwajiri wake aendelee kumchekea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…