Barbara Gonzalez na Wallace Karia watangazwa kuwa Wajumbe wa Kamati za CAF

Barbara Gonzalez na Wallace Karia watangazwa kuwa Wajumbe wa Kamati za CAF


Mkurugenzi Mtendaji wa Simba SC, Barbara Gonzalez ametangazwa kuwa Makamu wa Rais wa Kamati ya Maandalizi ya Mashindano ya Vilabu vya CAF na Usimamizi wa Mfumo wa Leseni za Klabu

Barbara ndiye mwanamke pekee kwenye orodha hiyo na Rais ni Ahmed Yahya.
Kwahiyo huu ndio ushindi wa Simba SC

Kweli makolo ni makolo tu, mmefurahiii kama vile mmechukua kombe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
bi dada ni mzuri, akitoa haja ndogo nadhani anamwaga juisi tu
 
Kamati ya maandalizi ya mashindano ya vilabu, mbona haieleweki maana mashindano ya Caf Kwa ngazi ya vilabu ndio Yanaendelea kwasasa Sasa yeye kateuliwa aandae kitu gani, Mfumo wa Leseni kama Club licensing wenyewe ulisha tolewa muongozo tangu Zamani ni jukumu la FA za nchi mbalimbali kusimamia zoezi jinsi linavyo kwenda.
Isije ikawa mtu kampa Chaka lisilo na mashiko Ili aka funue miwani yake!!!
Ebu mleta Mada fafanua tuelewe majukumu yake hasa Yana husu mashindano gani? Caf champion league and confederation cup, Caf club women's champion league,New Elite Caf champion league?
Sasa unalia nn wee shoustieeee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Kwa ujumla kinacho onekana Rais wa CAF ndugu Motsepe kashapewa udhaifu wote wa CEO na mshkaji wake Senzo, Kwakua wamegundua CEO anapenda Publicity (Umaarufu) wakaona waanze na Chambo kikubwa.
Kinachofuatia ni kumtakia majukumu mema, ila nampa Big up Motsepe, Motsepe mtu mmbad sana, Kila mbuzi ale urefu wa kamba yake. Kinacho fuatia apo ni safari za marakwamara za vikao Tena inaweza kua nje ya Africa [emoji2][emoji2][emoji2]
Na bado unalia kwa sautiiiii, woiiiiiiiiih, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Popoma umepigwa kwenye mshono tulia, acha kutukana wazazi wa wenzio kwani utakutana na matahira wenzako nao watakutukania wazazi wako
Hata Mimi pia ni Mzazi wa Wengine Pumbavu zako.
 
Itabid tu wakubali japo kwa mbindee sanaa
 

Attachments

  • FB_IMG_1663853142451.jpg
    FB_IMG_1663853142451.jpg
    44.5 KB · Views: 1
Babra fanya unavyoweza Utopolo wakiitoa makundi,waweke kundi moja na Al Ahly,Mamelod na TP Mazembe .
 
Back
Top Bottom