Barbara Gonzalez na Wallace Karia watangazwa kuwa Wajumbe wa Kamati za CAF

Kwahiyo huu ndio ushindi wa Simba SC

Kweli makolo ni makolo tu, mmefurahiii kama vile mmechukua kombe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
bi dada ni mzuri, akitoa haja ndogo nadhani anamwaga juisi tu
 
Sasa unalia nn wee shoustieeee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Na bado unalia kwa sautiiiii, woiiiiiiiiih, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Popoma umepigwa kwenye mshono tulia, acha kutukana wazazi wa wenzio kwani utakutana na matahira wenzako nao watakutukania wazazi wako
Hata Mimi pia ni Mzazi wa Wengine Pumbavu zako.
 
Itabid tu wakubali japo kwa mbindee sanaa
 

Attachments

  • FB_IMG_1663853142451.jpg
    44.5 KB · Views: 1
Babra fanya unavyoweza Utopolo wakiitoa makundi,waweke kundi moja na Al Ahly,Mamelod na TP Mazembe .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…