Barbara Gonzalez: Simba SC haijawahi kumuhitaji Manyama

Kwani fedha inazotumia Azam sio za familia? Hapa bongo hakuna timu inayoweza kusema kuwa inajisimamia yenyewe moja kwa moja kimapato, hata hiyo Azam fc kimsingi inategemea mfuko wa mtu mmoja. Kwahiyo sioni logic yako hapo.

Kama unabisha twambie hapa, Azam fc inaingiza hela kupitia biashara gani?[emoji23]
 
Simba ina return gani Mo anasema anaendesha kwa hasara we kenge?
 
Unamtenganisha vp Bakhresa na Azam FC?
 
Simba ilishindwa kwa Mwamnyeto ...
Simba imeshindwa tena kwa Djuma Shabani...
Kwa hiyo Yanga imelamba dume kwa Mwamnyeto! 🤣🤣🤣
Djuma Shabani tatizo lake limjificha, litakuja kuonekana atakaanza kufanya mazoezi.

Kwa ufupi Simba huwa inaisajilisha Yanga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…