GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Katika ule Uzi nilisema ni Tetesi sawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika ule Uzi nilisema ni Tetesi sawa?
Kwani fedha inazotumia Azam sio za familia? Hapa bongo hakuna timu inayoweza kusema kuwa inajisimamia yenyewe moja kwa moja kimapato, hata hiyo Azam fc kimsingi inategemea mfuko wa mtu mmoja. Kwahiyo sioni logic yako hapo.Simba ilishindwa kwa Mwamnyeto, na Sasa imeshindwa kwa Manyama.kunasiku Zaka za kazi alimwambia Magori kwamba hakuna mchezaji yoyote ambayo watamtaka alafu Simba iwashinde katika ku msain.
Akampa mfano wa Chikwende kwamba mchezaji mwenyewe alitamani kwenda Azam lakin kocha Lwandamina alimkataa wao Simba wakamsainisha tena kwa fedha nyingi.
Simba imeshindwa tena kwa Djuma Shabani. Huwezi kutambia fedha za familia ya MO wakati maamuzi ya matumizi mbaka wanafamily wakae.
Simba ina return gani Mo anasema anaendesha kwa hasara we kenge?Kweli we akili kisheti ,Sasa Azam anamzidi kwa kipi Simba?
Tatizo una akil fupi umechukua utajir wa bakresa ukauweka kwa Azam fc bila kufikiria return kutoka kwa hiyo club ni kias gani,
Simba hata akicheza na ihefu anapata anaingiza mapato ya kufa mtu ,Simba ana endorsement kibao kulinganisha na azam ,Simba ameingiza pesa ndefu huko club bingwa ,je Azam kaingiza kias gani?
Najua utakimbilia kuwa Azam ana uwanja wake huko chamaz ,swali je hiyo chamaz inaingiza kias gan cha mapato?
Acheni kuilinganisha Simba na Azam ,hao bado ni watoto sana kwa Simba kuhusu uchumi Zaid Zaid wao wanatumia pesa ambayo Haina profit return kama ilivyo kwa Simba .
Haya ndio madhara ya shule za kata yaan mnashindwa kabisa kufikiria beyond the reality .
Unamtenganisha vp Bakhresa na Azam FC?Ningekuona wa maana kama ungeuliza hivi, Mo anamzidi uchimi Bakharesa? Maana Azam na Simba zote hazisimami zenyewe kama separate economy entity zote zinategemea hela kutoka mfukoni mwa hao matajiri niliowataja hapo juu.
Kama unabisha, twambie hapa, Azam fc kama team inaingiza pesa zake kupita biashara gani ya kimpira inayofanya?
[emoji1542] Yes kwasasa Simba Sc iko juu kiuchumi kuliko Azam Fc kwasababu imekuwa ikijiiingizia pesa kupitia deals mbalimbali inazosaini, marundo ya pesa inayoyapata huko CAF, vipi kuhusu Azam?
Sizitaki Mbichi Hizi.Maneno ya mkosaji
😂 😂Simba ina return gani Mo anasema anaendesha kwa hasara we kenge?
Kwa hiyo Yanga imelamba dume kwa Mwamnyeto! 🤣🤣🤣Simba ilishindwa kwa Mwamnyeto ...
Simba imeshindwa tena kwa Djuma Shabani...