Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
Aliyewahi kuwa CEO wa Simba Sports Club ameandika kupitia ukarasa wake wa X kuwa watu wanalipwa kuchafua wengine na kuwasifia wanaowalipa, Wapambe na Machawa wanaendesha Siasa Za Tanzania.
Je, ni upi mtazamo au maoni yako juu ya alichosema? Atakuwa anawalenga watu gani wanaolipwa kuchafua au kusiafia?.
"Wapambe na wachawa wanaendesha siasa za Tanzania (mitandaoni), it’s distasteful. Watu wanalipwa kuchafuana na kuwasifu. Utadhani kura zinapigwa online kwa hizi campaign. Nothing is subtle anymore.
Disorganized, uncoordinated blabber disguised as organic content"._Barbara 8/6/2024