Amenena ukweli na uhalisia.Aliyewahi kuwa CEO wa Simba Sports Club ameandika kupitia ukarasa wake wa X kuwa watu wanalipwa kuchafua wengine na kuwasifia wanaowalipa, Wapambe na Machawa wanaendesha Siasa Za Tanzania.
"Wapambe na wachawa wanaendesha siasa za Tanzania (mitandaoni), it’s distasteful. Watu wanalipwa kuchafuana na kuwasifu. Utadhani kura zinapigwa online kwa hizi campaign. Nothing is subtle anymore.
Disorganized, uncoordinated blabber disguised as organic content"._Barbara
View attachment 3011637
Atuachie Simba yetu
Atuachie Simba yetu
WhyKumbe simba is synonymous to siasa!?
Dada sasa ameelewa akili za mtu mweusi hasa wa chama tawala.Aliyewahi kuwa CEO wa Simba Sports Club ameandika kupitia ukarasa wake wa X kuwa watu wanalipwa kuchafua wengine na kuwasifia wanaowalipa, Wapambe na Machawa wanaendesha Siasa Za Tanzania.
Je, ni upi mtazamo au maoni yako juu ya alichosema? Atakuwa anawalenga watu gani wanaolipwa kuchafua au kusiafia?.
"Wapambe na wachawa wanaendesha siasa za Tanzania (mitandaoni), it’s distasteful. Watu wanalipwa kuchafuana na kuwasifu. Utadhani kura zinapigwa online kwa hizi campaign. Nothing is subtle anymore.
Disorganized, uncoordinated blabber disguised as organic content"._Barbara 8/6/2024
View attachment 3011637
Ndio unajua leo? Yanga na simba zinaendeshwa from.......hidden locationsKumbe simba is synonymous to siasa!?
Na kuchafuana kupo mpaka mitaani sio mitandaoni tu 🙄Aliyewahi kuwa CEO wa Simba Sports Club ameandika kupitia ukarasa wake wa X kuwa watu wanalipwa kuchafua wengine na kuwasifia wanaowalipa, Wapambe na Machawa wanaendesha Siasa Za Tanzania.