Barbra aitwa Kamati ya Maadili TFF

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Mpira wa Tanzania sasa umeshaingia ktk sintofahamu, naona kuna mpango wa kufungia viongozi wa Simba, je, tutafika.
 
Mwakalebela wa Yanga si alifungiwa Sasa Barbara akifungiwa kuna ubayagani ikiwa amethibitika bila shaka kua ametenda kosa!!
unazi uko mwingi sana kwenye soka letu na sio weledi wa watu husika,sio kwa mashabiki sio kwa viongozi kote hovyo na tutaishia hapahapa bongo tu
 
Mpira wa Tanzania sasa umeshaingia ktk sintofahamu, naona kuna mpango wa kufungia viongozi wa Simba, je, tutafika.
hata kama unaipenda simba shida sio simba shida ni viongozi wa tff ambao wengi wanafanya kazi kimuhemko...mtu akiandika kwenye page yake ya insta tayari utasikia anafungiwa miaka 5 kama shafii
 
Mpira wa Tanzania sasa umeshaingia ktk sintofahamu, naona kuna mpango wa kufungia viongozi wa Simba, je, tutafika.
Kwa hiyo viongozi wa timu nyingine wanastahili hufungiwa! Hata msipofika, mbona sawa tu. Wengine watafika kwa niaba yenu.

Wacha sheria ifuate mkondo wake. Wamefungiwa akina Mbwana Makata, watu wenye CV iliyo tukuka! Huyo Barbara wako ana CV gani kwenye michezo ndani ya nchi hii, zaidi tu ya kupata umaarufu kupitia Mudi Guy!
 
viongozi wa utopolo nao hawakua mbali kutoa malalamiko kwenye kamati ya fungia fungia ya huko TFF

Tulia uandike vizuri. Kafungiwa au kaitwa? Na kaitwa kwasababu gani?
Yule aliyefungiwa miaka mitano nae ni wa Simba?
Uelewa wako uko chini, kaitwa kamati ya maadili lkn mpango ni kufungiwa
 
Uelewa wako uko chini, kaitwa kamati ya maadili lkn mpango ni kufungiwa
Huo mpango unauratibu wewe, mbona unakuwa na mihemko kijana, ukiitwa Mama Ester a.k.a Mrs Kapombe utaanza kufura. Acha umbeya kijana, na kumbuka umbeya haunaga posho
 
hata kama unaipenda simba shida sio simba shida ni viongozi wa tff ambao wengi wanafanya kazi kimuhemko...mtu akiandika kwenye page yake ya insta tayari utasikia anafungiwa miaka 5 kama shafii
huyu na kuichafua kote simba hajashtakiwa

Huyo karia akijaribu tu kumfungia CEO wa Simba asidhan ndio atakua ametatua tatizo Zaid atakua ameongeza tatizo juu ya tatizo.
Namna ya kujinasua kwenye pesa aliyokula ya GSM ni kurudisha tu hiyo pesa kwa wenyew maana kwa ninavyoijua Simba haitakaa ivae hata siku moja hiyo nembo.
Na target ya kuitangaza hiyo nembo ilikua ni Simba aivae ila wengine walikua chambo tu maana hawana impact yoyote.

Narudia Tena karia akimfungia ceo atakua ndio kajimaliza jumla na huenda akatoka kwa aibu kwenye hiyo nafas aliyo nayo.
Ngoja tusubir kesho.
 
Na yule nguruwe pori alikuwa anashikilia kweli simba lazima wavae bwege kweli yule mke mdogo wa harsi tff wanajisahau.
 
kwa ufupi mpira wa tanzania ni maji taka kiufupi
 
Na yule nguruwe pori alikuwa anashikilia kweli simba lazima wavae bwege kweli yule mke mdogo wa harsi tff wanajisahau.
hata kama tungekuwa ni sisi tungefanya hayohayo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…