Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Mpira wa Tanzania sasa umeshaingia ktk sintofahamu, naona kuna mpango wa kufungia viongozi wa Simba, je, tutafika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tff hakuna watu ila kuna watu wenye masrahi yao tu ,sio kwa taifaTulia uandike vizuri. Kafungiwa au kaitwa? Na kaitwa kwasababu gani?
Yule aliyefungiwa miaka mitano nae ni wa Simba?
unazi uko mwingi sana kwenye soka letu na sio weledi wa watu husika,sio kwa mashabiki sio kwa viongozi kote hovyo na tutaishia hapahapa bongo tuMwakalebela wa Yanga si alifungiwa Sasa Barbara akifungiwa kuna ubayagani ikiwa amethibitika bila shaka kua ametenda kosa!!
hata kama unaipenda simba shida sio simba shida ni viongozi wa tff ambao wengi wanafanya kazi kimuhemko...mtu akiandika kwenye page yake ya insta tayari utasikia anafungiwa miaka 5 kama shafiiMpira wa Tanzania sasa umeshaingia ktk sintofahamu, naona kuna mpango wa kufungia viongozi wa Simba, je, tutafika.
Kwa hiyo viongozi wa timu nyingine wanastahili hufungiwa! Hata msipofika, mbona sawa tu. Wengine watafika kwa niaba yenu.Mpira wa Tanzania sasa umeshaingia ktk sintofahamu, naona kuna mpango wa kufungia viongozi wa Simba, je, tutafika.
Uelewa wako uko chini, kaitwa kamati ya maadili lkn mpango ni kufungiwaTulia uandike vizuri. Kafungiwa au kaitwa? Na kaitwa kwasababu gani?
Yule aliyefungiwa miaka mitano nae ni wa Simba?
Huo mpango unauratibu wewe, mbona unakuwa na mihemko kijana, ukiitwa Mama Ester a.k.a Mrs Kapombe utaanza kufura. Acha umbeya kijana, na kumbuka umbeya haunaga poshoUelewa wako uko chini, kaitwa kamati ya maadili lkn mpango ni kufungiwa
huyu na kuichafua kote simba hajashtakiwahata kama unaipenda simba shida sio simba shida ni viongozi wa tff ambao wengi wanafanya kazi kimuhemko...mtu akiandika kwenye page yake ya insta tayari utasikia anafungiwa miaka 5 kama shafii
Na yule nguruwe pori alikuwa anashikilia kweli simba lazima wavae bwege kweli yule mke mdogo wa harsi tff wanajisahau.Huyo karia akijaribu tu kumfungia CEO wa Simba asidhan ndio atakua ametatua tatizo Zaid atakua ameongeza tatizo juu ya tatizo.
Namna ya kujinasua kwenye pesa aliyokula ya GSM ni kurudisha tu hiyo pesa kwa wenyew maana kwa ninavyoijua Simba haitakaa ivae hata siku moja hiyo nembo.
Na target ya kuitangaza hiyo nembo ilikua ni Simba aivae ila wengine walikua chambo tu maana hawana impact yoyote.
Narudia Tena karia akimfungia ceo atakua ndio kajimaliza jumla na huenda akatoka kwa aibu kwenye hiyo nafas aliyo nayo.
Ngoja tusubir kesho.
kwa ufupi mpira wa tanzania ni maji taka kiufupiHuyo karia akijaribu tu kumfungia CEO wa Simba asidhan ndio atakua ametatua tatizo Zaid atakua ameongeza tatizo juu ya tatizo.
Namna ya kujinasua kwenye pesa aliyokula ya GSM ni kurudisha tu hiyo pesa kwa wenyew maana kwa ninavyoijua Simba haitakaa ivae hata siku moja hiyo nembo.
Na target ya kuitangaza hiyo nembo ilikua ni Simba aivae ila wengine walikua chambo tu maana hawana impact yoyote.
Narudia Tena karia akimfungia ceo atakua ndio kajimaliza jumla na huenda akatoka kwa aibu kwenye hiyo nafas aliyo nayo.
Ngoja tusubir kesho.
hata kama tungekuwa ni sisi tungefanya hayohayo tuNa yule nguruwe pori alikuwa anashikilia kweli simba lazima wavae bwege kweli yule mke mdogo wa harsi tff wanajisahau.
Majitaka kwa kuwa msimu huu mmekosa ubingwa wa ligi kuu.kwa ufupi mpira wa tanzania ni maji taka kiufupi