Barbra Hassan unaiharibu Power Breakfast

Mkuu u si ungepiga simu huko wanakotangazia ili wakuelewe vyema. Pia kuna sanduku la maoni unaweza kwenda kuwalalamikia.
Hapa unatujazia server tu
Watu kama nyiee Mara nyingi huwa mnakuwa wanga...ukikaaa kimya itakushinda nini....mbona watu tunachangiaa Ni kweli Anaboa Na kupitia hapa atajurekebisha. Obama tu anasemwa kwenye networks.kama sio yy Kusoma wapo watakaomfikishia By the way who is Babra?Ajirekebisheee au labda Mimba changa
 
Anaitwa Barbara huyo ndio ananipa sababu ya kusikiliza pb
 
Kuna kitu hamjagundua wandugu...wakati ule wa Hando Babra hakuwa huru kabisa na ni kwa sababu Hando ni very tricky alipokuwa ana deal na Babra....utani na maswali ya Hando yalikuwa yanapelekea Babra kujisikia Mnyonge...coz alikuwa anaanchwa sana...na kupelekea wasikilizaji wamuone mweupe upstairs.

Nimeanza kumkubali KP lakini bado kwenye mizani yangu yule Baba wa ki iraq ana ufahamu wa mambo zaidi ya KP...sikupata fursa ya kutosha kuwasikiliza KP na Hando walipokuwa pamoja...ila nahisi palikuwa hapatoshi...labda ndio maana usemi wa 'mafahari wawili...' ulitimia kwa KP kusepa...nilianza kuwasikiliza kipindi cha mwishoni kabla ya KP kuondoka.

So hii hali inayosikika kwa Babra sasa ni baada ya sasa kujisikia yupo huru...kama inavyotokea kwa Ndama anapoachiwa atoke nje kwa mara ya kwanza...ananyoosha mkia anakimbia, ardhi anakanyaga kama anataka kuchimba mashimo.

....na pia labda hivyo unavyosema amepandishwa cheo...au labda wamemuongezea mshahara..au kuna kitu wamemuahidi..au amefurahia kutoka kwa Hando...you never know...moyo wa mtu kichaka ati...ila kwa kweli sasa yupo over excited.
 
Mie pia nilikipenda kipind cha wik ilopita yaan kweny utan unacheka balaa maana wanasikilizana...ila babra akiwepo anakatisha kuongea, yan mpaka mnh...
 
Babra namkubali sana... mixa na kipanya unspata kachumbari ya matango..

na wengi wanaichukia clouds sababu wanajua... so far jamaa katoa maoni yake natumai ujumbe umefika kama kuna ukweli watajirekebisha ila Ujio wa masoud ni sawa na kumpata Messi
 
Ni kweli analosema mtoa mada kuna lkn wawe wanangalia sehem ya kuinterruptiana ñakumbuka kuna cku da babra alukuwa anaclarify swala la ky gel kp àkamzoñga sn she was real dísappointed and stopd. Anyway wapeañe nafaç tu íla kwa uyo dgo cezar namkubali sn they hv to nurture hm nakumbuka kunà dgo . moja alikuwa sports xtra kina shafii walikuwa wanambania sn na àlikuwa vzur upstairs now yuko azam. Kp naona ananza kukaa vzur kip t up bro.
 
Anakera sana huyo Barbara na tabia yake ya kuchanganya Kiswahili na Kiingereza uchwara. Hii ndio sababu kubwa nimeamua kuachana nao na kusikiliza Magic FM.


Magic FM wapo vizuri , hawaruki ruki kama clouds , pia hawana matangazo mengi....merry Edward , salum mkambala n.k wapo vizuri wanachambua mambo bila woga na wanasoma maoni ya watu kama yalivyo
 
Badilisha hiyo keyboard yako.
 
Barbara anakosea kuchanganya kiswahili na english anapotangaza hii inaondoa weledi wa kazi yake, pia kutokana na aina ya vitu anavyoongea anatafsirika kama ni mtu mwenye maisha ya hadhi fulani ya juu, kitu ambacho sio kizuri kwenye jamii inayomsikiliza.
 
Wanawake wengi wakipata uongozi fulani. Inakuwa shida kisaikolojia wanakuwa na kunyanyasa wanaume na kuwaona kama sio mali kitu. Sio yeye tuu ata katika maofsi mengine, mwanamke akiwa boss. Kufukuzwa, kusengenywa, kuzarauliwa na kutukanwa avikwepeki
 
caesar ni mzuri ila anashindwa kutofautisha "L" na "R"
 
nadhani anajaribu kuonyesha yeye ndio boss kwa wenziE na kwa public pia...but hii inaonekana ni tabia kwa wadada wengi wakipata kipromotion flan kuna vijipembe kua vinaotaga fasta!!mbwembwe,mikwala mbuzi,kiburi kazini na nyumbani etc!jamani achene hizooooo
 
Hv ilikuwaje wale jamaa wakatoa miguu PB
 

Masoud Kipanya nae anajishaua sana. Anajiona mjuaji sana na wakati mwingine ni kama anawapondaga ambao hawajatoka maishani. Atoe ushauri kwa unyenyekevu. Sio kukejeli watu. Aliyempa yeye..........!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…