Barbra Hassan wa Power breakfast.

Barbra Hassan wa Power breakfast.

Mwanaume wa dar katika ubora wako .. ukute umeshashiba supu ya pweza na chips kavu za buku unatoa stress kwa mama wa watu
Achaga Uraru we soro!!Yaani Mimi niwe M'daresalade??Hii chalii ya Ngareroo Bablai,Kama umekuja na 100 ntakurudisha na izoizo famba wewe..!!Unaniita me Mdaresalade???
 
Kama ungeniomba ushauri mimi, ningekwambia yule humuwezi. labda mtokee Salama Jabr, wa mikasi.
Aaah Yule Gangster kinyama,Ma'manzi wa Chuga ni Ma'gangster kisoro tushawachoka ndomaana nataka Soft kaa Babra.
 
Sasa wewe hapo ndio umetukana..[emoji23][emoji23][emoji23]
'Fvck'sio tusi dingii ilivotumika kwenye iyo sentensi,,,Kwani mtu akisema'What a Fvck iz that?',hapo katukana??
 
Habari zenu wanajamvi!?.
I hope mko poa kabisa,
Nikiongelea vipindi vya redio
nnavyovipenda sana ni
Power Breakfast ya Clouds FM kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa11 Alfajiri hadi saa4 Asubuhi inayoongozwa na Babra Hassan
along side akiwa na Masoud Kipanya'KP',
Fredwaa na Sizza.
Barbra Hassan nampenda sana
toka moyoni coz anajua anachokifanya,ana sauti nzuri
hasa tukiongelea kwenye issue ya Emotional Appeal ambapo kuna Voice projection na Good Selection of words,
Ana Packaging,Uniqueness,pia visualization which makes her to be a Fullfilled Journalist..Pia ana ushawishi sana yaani akiamua kutangaza au kuisifia bidhaa fulani lazima uinunue tu Chali'angu..
Lengo la kumwandikia huu uzi
ni amekua akiwajibu maneno mabaya kama
sio matusi watangazaji wenzake,
Jana nilimsikia kuna kipindi kina Kipanya na Sizza walimtania akawajibu"Wapumbavu nyie"
japo kiutani,Leo tena Sizza kamtania kuwa yeye(Barbra)ni Bibi wa Band baada ya Babra kusema Aneth Kushaba ni Mama wa Band,Nilimskia Barbra akimjibu Sizza"Fala wewe"uku akicheka,
By the way Napendaga sana utani wao ambao hata zamani kina Paul James Sweya'PJ' na Gerard Hando walikua wanapenda kumzingua sana lakini alikua hatukani,
Sasa mimi nimewaza Katika Journalism kuna'Journalism Ethics'
au chuo alichosoma Sister angu hakufundishwa haya??
Au mimi ndo sielewi labda hayo(Wapumbavu,Fala)sio matusi wadau??
Sina chuki na Babra nampenda sana Mama Ashley(Babra)Kivyovyote vile iwe kimapenzi hadi kikazi.
@NgarenaroBoy.

Looks like a whore
 
Kwenye kiingereza nampa asilimia 200% kabisa she is perfect huwa nafurahi kusikia anavyotiririka

Mana huwa inakera mwandishi wa habari kukosea maneno
 
Habari zenu wanajamvi!?.
I hope mko poa kabisa,
Nikiongelea vipindi vya redio
nnavyovipenda sana ni
Power Breakfast ya Clouds FM kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa11 Alfajiri hadi saa4 Asubuhi inayoongozwa na Babra Hassan
along side akiwa na Masoud Kipanya'KP',
Fredwaa na Sizza.
Barbra Hassan nampenda sana
toka moyoni coz anajua anachokifanya,ana sauti nzuri
hasa tukiongelea kwenye issue ya Emotional Appeal ambapo kuna Voice projection na Good Selection of words,
Ana Packaging,Uniqueness,pia visualization which makes her to be a Fullfilled Journalist..Pia ana ushawishi sana yaani akiamua kutangaza au kuisifia bidhaa fulani lazima uinunue tu Chali'angu..
Lengo la kumwandikia huu uzi
ni amekua akiwajibu maneno mabaya kama
sio matusi watangazaji wenzake,
Jana nilimsikia kuna kipindi kina Kipanya na Sizza walimtania akawajibu"Wapumbavu nyie"
japo kiutani,Leo tena Sizza kamtania kuwa yeye(Barbra)ni Bibi wa Band baada ya Babra kusema Aneth Kushaba ni Mama wa Band,Nilimskia Barbra akimjibu Sizza"Fala wewe"uku akicheka,
By the way Napendaga sana utani wao ambao hata zamani kina Paul James Sweya'PJ' na Gerard Hando walikua wanapenda kumzingua sana lakini alikua hatukani,
Sasa mimi nimewaza Katika Journalism kuna'Journalism Ethics'
au chuo alichosoma Sister angu hakufundishwa haya??
Au mimi ndo sielewi labda hayo(Wapumbavu,Fala)sio matusi wadau??
Sina chuki na Babra nampenda sana Mama Ashley(Babra)Kivyovyote vile iwe kimapenzi hadi kikazi.
@NgarenaroBoy.
Kweli nimeamini yaani ukimsikiliza kwenye radio anavyoongea utafikiri ni mdada model kidogodogoo kumbe booonge sauti na mwili wake vitu viwili tofauti
 
Ethics zinasemaje? ?kipindi kipo hewani, yapi watangazaji wanayotakiwa kutamka. Tusihalalishe kila kit
Hili linaenda mpaka kwa akina Mondi na nyimbo zao! !
 
w
Habari zenu wanajamvi!?.
I hope mko poa kabisa,
Nikiongelea vipindi vya redio
nnavyovipenda sana ni
Power Breakfast ya Clouds FM kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa11 Alfajiri hadi saa4 Asubuhi inayoongozwa na Babra Hassan
along side akiwa na Masoud Kipanya'KP',
Fredwaa na Sizza.
Barbra Hassan nampenda sana
toka moyoni coz anajua anachokifanya,ana sauti nzuri
hasa tukiongelea kwenye issue ya Emotional Appeal ambapo kuna Voice projection na Good Selection of words,
Ana Packaging,Uniqueness,pia visualization which makes her to be a Fullfilled Journalist..Pia ana ushawishi sana yaani akiamua kutangaza au kuisifia bidhaa fulani lazima uinunue tu Chali'angu..
Lengo la kumwandikia huu uzi
ni amekua akiwajibu maneno mabaya kama
sio matusi watangazaji wenzake,
Jana nilimsikia kuna kipindi kina Kipanya na Sizza walimtania akawajibu"Wapumbavu nyie"
japo kiutani,Leo tena Sizza kamtania kuwa yeye(Barbra)ni Bibi wa Band baada ya Babra kusema Aneth Kushaba ni Mama wa Band,Nilimskia Barbra akimjibu Sizza"Fala wewe"uku akicheka,
By the way Napendaga sana utani wao ambao hata zamani kina Paul James Sweya'PJ' na Gerard Hando walikua wanapenda kumzingua sana lakini alikua hatukani,
Sasa mimi nimewaza Katika Journalism kuna'Journalism Ethics'
au chuo alichosoma Sister angu hakufundishwa haya??
Au mimi ndo sielewi labda hayo(Wapumbavu,Fala)sio matusi wadau??
Sina chuki na Babra nampenda sana Mama Ashley(Babra)Kivyovyote vile iwe kimapenzi hadi kikazi.
@NgarenaroBoy.
wewe si ndio babra mwenyewe? ok ntaanza kukufatilia
 
Kusema ukweli masdili ys utangazaji kayapunguza kujifamya mbabe mbabe ndani yakipindi kuna kipindi aliongea maneno ya kukeratangusikuhiyo nimemtoa thamani
 
Tatizo anapenda kucontrol Sana wenzie
 
Back
Top Bottom