Achaga Uraru we soro!!Yaani Mimi niwe M'daresalade??Hii chalii ya Ngareroo Bablai,Kama umekuja na 100 ntakurudisha na izoizo famba wewe..!!Unaniita me Mdaresalade???Mwanaume wa dar katika ubora wako .. ukute umeshashiba supu ya pweza na chips kavu za buku unatoa stress kwa mama wa watu
Habari zenu wanajamvi!?.
I hope mko poa kabisa,
Nikiongelea vipindi vya redio
nnavyovipenda sana ni
Power Breakfast ya Clouds FM kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa11 Alfajiri hadi saa4 Asubuhi inayoongozwa na Babra Hassan
along side akiwa na Masoud Kipanya'KP',
Fredwaa na Sizza.
Barbra Hassan nampenda sana
toka moyoni coz anajua anachokifanya,ana sauti nzuri
hasa tukiongelea kwenye issue ya Emotional Appeal ambapo kuna Voice projection na Good Selection of words,
Ana Packaging,Uniqueness,pia visualization which makes her to be a Fullfilled Journalist..Pia ana ushawishi sana yaani akiamua kutangaza au kuisifia bidhaa fulani lazima uinunue tu Chali'angu..
Lengo la kumwandikia huu uzi
ni amekua akiwajibu maneno mabaya kama
sio matusi watangazaji wenzake,
Jana nilimsikia kuna kipindi kina Kipanya na Sizza walimtania akawajibu"Wapumbavu nyie"
japo kiutani,Leo tena Sizza kamtania kuwa yeye(Barbra)ni Bibi wa Band baada ya Babra kusema Aneth Kushaba ni Mama wa Band,Nilimskia Barbra akimjibu Sizza"Fala wewe"uku akicheka,
By the way Napendaga sana utani wao ambao hata zamani kina Paul James Sweya'PJ' na Gerard Hando walikua wanapenda kumzingua sana lakini alikua hatukani,
Sasa mimi nimewaza Katika Journalism kuna'Journalism Ethics'
au chuo alichosoma Sister angu hakufundishwa haya??
Au mimi ndo sielewi labda hayo(Wapumbavu,Fala)sio matusi wadau??
Sina chuki na Babra nampenda sana Mama Ashley(Babra)Kivyovyote vile iwe kimapenzi hadi kikazi.
@NgarenaroBoy.
HAIWEZEKANA ! SIYO KWAMBA NAMDHARAU ILA HANA UWEZO NA SIFA YA HICHO CHEO.Shaffih Dauda ndo programes manager.
Kweli nimeamini yaani ukimsikiliza kwenye radio anavyoongea utafikiri ni mdada model kidogodogoo kumbe booonge sauti na mwili wake vitu viwili tofautiHabari zenu wanajamvi!?.
I hope mko poa kabisa,
Nikiongelea vipindi vya redio
nnavyovipenda sana ni
Power Breakfast ya Clouds FM kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa11 Alfajiri hadi saa4 Asubuhi inayoongozwa na Babra Hassan
along side akiwa na Masoud Kipanya'KP',
Fredwaa na Sizza.
Barbra Hassan nampenda sana
toka moyoni coz anajua anachokifanya,ana sauti nzuri
hasa tukiongelea kwenye issue ya Emotional Appeal ambapo kuna Voice projection na Good Selection of words,
Ana Packaging,Uniqueness,pia visualization which makes her to be a Fullfilled Journalist..Pia ana ushawishi sana yaani akiamua kutangaza au kuisifia bidhaa fulani lazima uinunue tu Chali'angu..
Lengo la kumwandikia huu uzi
ni amekua akiwajibu maneno mabaya kama
sio matusi watangazaji wenzake,
Jana nilimsikia kuna kipindi kina Kipanya na Sizza walimtania akawajibu"Wapumbavu nyie"
japo kiutani,Leo tena Sizza kamtania kuwa yeye(Barbra)ni Bibi wa Band baada ya Babra kusema Aneth Kushaba ni Mama wa Band,Nilimskia Barbra akimjibu Sizza"Fala wewe"uku akicheka,
By the way Napendaga sana utani wao ambao hata zamani kina Paul James Sweya'PJ' na Gerard Hando walikua wanapenda kumzingua sana lakini alikua hatukani,
Sasa mimi nimewaza Katika Journalism kuna'Journalism Ethics'
au chuo alichosoma Sister angu hakufundishwa haya??
Au mimi ndo sielewi labda hayo(Wapumbavu,Fala)sio matusi wadau??
Sina chuki na Babra nampenda sana Mama Ashley(Babra)Kivyovyote vile iwe kimapenzi hadi kikazi.
@NgarenaroBoy.
wewe si ndio babra mwenyewe? ok ntaanza kukufatiliaHabari zenu wanajamvi!?.

Tatizo anapenda kucontrol Sana wenzie
UWEZO NA UPEO MDOGO HIVYO TU !!!Kwanini mkuu??
Uyu wa unga limited.anakula chapalalaMwanaume wa dar katika ubora wako .. ukute umeshashiba supu ya pweza na chips kavu za buku unatoa stress kwa mama wa watu