MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
HamnaWe ndo sudi brown au?
Tatizo Ubunifu umeisha Clouds, yule Maganga hamna kitu kichwani na Kusaga hamna kitu kwakifupi Ruge alikuwa anawezaWiki hii hapa kazini CMG tumepewa taarifa kwamba Barbra Hassan kamaliza sabbatical leave hivyo anarudi kwenye pindi lake hivyo kumfanya dj Fetty kwenda kukiwasha sports extra. Wakuu yapi maoni yenu. Tuko na Kusaga hapa anasoma maoni.
Kabisa mkuu kwa Sasa wameingiza kamari kila kipindi utasikia cheza mchezo pesaHivi hizi radio mnawezaje kusikiliza zaidi ya taarifa ya habari na michezo? ..........unasikiliza kipindi yaani matangazo hadi kero, zitawekwa jingle za matangazo matano dk 10, zikiisha jingle kila mtangazaji anaanza kurudia upyaa kuelezea tangazo moja baada ya lingine halafu wanataniana ujinga dk moja kisha dj mix dk 15.... Nusu saa imekwisha hakuna la maana...... NYAMBAFU KABISA
Ni radio ya matangazo si ya burudan Kwa kweli..inaboaaa had baaasHivi hizi radio mnawezaje kusikiliza zaidi ya taarifa ya habari na michezo? ..........unasikiliza kipindi yaani matangazo hadi kero, zitawekwa jingle za matangazo matano dk 10, zikiisha jingle kila mtangazaji anaanza kurudia upyaa kuelezea tangazo moja baada ya lingine halafu wanataniana ujinga dk moja kisha dj mix dk 15.... Nusu saa imekwisha hakuna la maana...... NYAMBAFU KABISA