Barbra kurudi power breakfast, Fetty kwenda sport extra

Barbra kurudi power breakfast, Fetty kwenda sport extra

Ma tangazo yamekua mengi hadi kero kusikiliza, wape Salam
 
Habari zenyewe nfano za michezo ni simba na yanga kipindi cha saa 2.

Taarifa za habari ni zile zinazo break mtandaoni. Media nyingi hazina ripota. Media zina uhaba wa vipindi vya kijamii, kiuchumi, kisiasa
 
Hivi kwa sasa kwa mtazamo wako radio ipi inashika usukani(namba moja)kusikilizwa na kupendwa mi kuna moja nahisi ila nasubiri wewe utaje
MITAA INAONGEA NA KWENYE MA DALADALA,VIJIWE VYA KAHAWA NA MAJUMBANI. FANYA UTAFITI UTAPATA JIBU NA UKWELI UKO WAZI
 
Fety wanamwangaishaa alivyorudi alikuwa jahazi,wamempeleka power breakfast now tenaa sport extra c bora arudi XXL tu
 
hayo matangazo ndio yanafanya mpaka leo wawepo hewani
Hivi hizi radio mnawezaje kusikiliza zaidi ya taarifa ya habari na michezo? ..........unasikiliza kipindi yaani matangazo hadi kero, zitawekwa jingle za matangazo matano dk 10, zikiisha jingle kila mtangazaji anaanza kurudia upyaa kuelezea tangazo moja baada ya lingine halafu wanataniana ujinga dk moja kisha dj mix dk 15.... Nusu saa imekwisha hakuna la maana...... NYAMBAFU KABISA

Kabisa mkuu kwa Sasa wameingiza kamari kila kipindi utasikia cheza mchezo pesa

Kama wasafi kipind Cha michezo n hovyo dk 30 ya muda wao n matangazo ya kamari

Kwa Sasa Bora usikilize TBC taifa kuliko hao akina fm academia

Ni radio ya matangazo si ya burudan Kwa kweli..inaboaaa had baaas

Ma tangazo yamekua mengi hadi kero kusikiliza, wape Salam
 
hayo matangazo ndio yanafanya mpaka leo wawepo hewani
Nakuelewa mkuu
Lakini sasa namna wanavyo yapangilia ndio tatizo
matangazo yanakula hadi 70% ya kipindi

Kuna siku Jahazi walisema kesho watamualika mtu fulani kumuhoji na nilikua nataka kumsikiliza, kesho yake shap kipindi kinaanza nikaanza kusikiliza........ Aisee yale matangazo kwakweli ni KERO

Labda umri unanifanya kuwa nimepitwa na wakati
Zamani tunasikiliza Radio one inapigwa jingle ya tangazo la chai jaba mwanzo wa kipindi katika na mwishoni
 
Wiki hii hapa kazini CMG tumepewa taarifa kwamba Barbra Hassan kamaliza sabbatical leave hivyo anarudi kwenye pindi lake hivyo kumfanya dj Fetty kwenda kukiwasha sports extra. Wakuu yapi maoni yenu. Tuko na Kusaga hapa anasoma maoni.
Hivi Sabbatical leave na Maternity leave ni sawa? Nauliza ili nijifunze...
 
Fety wanamwangaishaa alivyorudi alikuwa jahazi,wamempeleka power breakfast now tenaa sport extra c bora arudi XXL tu
Ni kama ameshindwa kutosha kwenye kipindi chochote.
 
Bint wa Lindi yule hamna kitu arudi Barbara dj fetty kwenda sports exta kwajili ya nn
 
Back
Top Bottom