Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Klabu ya Barcelona ilitimiza game yake ya 1500 katika beseni la Camp Nou kwa ushindi wa goli wa 1-0 dhidi ya Granada.
Katika mechi hio ndipo ikakamilisha mechi ya 1500 tangu kujengwa kwa uwanja huo na kukamilisha ushindi wa 1,119 huku wakipata suluhu katika mechi zao 238 na kufungwa mechi 143.
Barca yatimiza mechi 1,500 katika uwanja wa Nou Camp…
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Leo uko vzur na pia Ac Milan anaendelea kutembeza kichapoKlabu ya Barcelona ilitimiza game yake ya 1500 katika beseni la Camp Nou kwa ushindi wa goli wa 1-0 dhidi ya Granada.
Katika mechi hio ndipo ikakamilisha mechi ya 1500 tangu kujengwa kwa uwanja huo na kukamilisha ushindi wa 1,119 huku wakipata suluhu katika mechi zao 238 na kufungwa mechi 143.
Barca yatimiza mechi 1,500 katika uwanja wa Nou Camp…
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Leo uko vzur na pia Ac Milan anaendelea kutembeza kichapo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] tunamkaribisha sanaKwakweli Ac Milan anaendelea kutembeza kichapo tu, na huwenda hizi ni dalili za huyu rafiki yangu kuingia Barcelona....karibu sana Mkuu Gang Chomba....
No camp!!..ndo nini?no camp..wacha hio
Mkuu Gang Asante kwa taarifa...ila headline kidogo umeteleza'
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Leo uko vzur na pia Ac Milan anaendelea kutembeza kichapo
Heh heh heh nimelikoroga makusudi ili nione mtakavokuja haraka...
Na msije omba nxt season niingie UCL...