Barca yacheza mechi ya 1500 ndani ya Bernabeu...

Klabu ya Barcelona ilitimiza game yake ya 1500 katika beseni la Camp Nou kwa ushindi wa goli wa 1-0 dhidi ya Granada.

Katika mechi hio ndipo ikakamilisha mechi ya 1500 tangu kujengwa kwa uwanja huo na kukamilisha ushindi wa 1,119 huku wakipata suluhu katika mechi zao 238 na kufungwa mechi 143.

Barca yatimiza mechi 1,500 katika uwanja wa Nou Camp…

Mkuu Gang Asante kwa taarifa...ila headline kidogo umeteleza'
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Klabu ya Barcelona ilitimiza game yake ya 1500 katika beseni la Camp Nou kwa ushindi wa goli wa 1-0 dhidi ya Granada.

Katika mechi hio ndipo ikakamilisha mechi ya 1500 tangu kujengwa kwa uwanja huo na kukamilisha ushindi wa 1,119 huku wakipata suluhu katika mechi zao 238 na kufungwa mechi 143.

Barca yatimiza mechi 1,500 katika uwanja wa Nou Camp…
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Leo uko vzur na pia Ac Milan anaendelea kutembeza kichapo
 
Kwakweli Ac Milan anaendelea kutembeza kichapo tu, na huwenda hizi ni dalili za huyu rafiki yangu kuingia Barcelona....karibu sana Mkuu Gang Chomba....
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kuna kukosea lkn co kwa hilo jina. Bora ata ungekosea useme Anfield tujue moja basi
 
Back
Top Bottom