Barcelona akifungwa huwa Kuna amani flani nakuwa nako

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Anyway Jana osasuna kaonesha panapovuja japo Kila mtu analia na Torres ila mi nasema wote wamefungwa
4 goals sio joke hapa nangoja Leo atletico azingue tuanze kupumulia unyayo wa mtu
 
Watoto wa osasuna wamecheza mpira mzuri sana. Walitakiwa kushida zaidi ya goli tano endapo umakini ungekuwa Mkubwa..

Ila Kocha wa Barcelona jana kajichanganya. Nadhani atakuwa kajifunza kuwa hutakiwi kubadilisha timu kwa asilimia kubwa katikati ya ligi.
 
Sijajua aliwaza Nini,wale vijana Ile ilikuja kama ngekewa hata hawakuamini ila walipaswa kushinda nyingi sema maafisa ubashiri walioweka over ndio walikula pesa
 
Kocha wa Barcelona baada ya game alijua kabisa yeye ndo kaharibu.
 
Anyway Jana osasuna kaonesha panapovuja japo Kila mtu analia na Torres ila mi nasema wote wamefungwa
4 goals sio joke hapa nangoja Leo atletico azingue tuanze kupumulia unyayo wa mtu
Yani amani yako kabisa uaiachia timu ya mpira?
 
Back
Top Bottom