Mkuu ushahama?Kama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Mesha HAMA?barcelona akishinda naamia chama cha mapinduzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Huyu nadhani ameshawasili Goma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu ulishahamia au ulikuwa unatania tuKama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC