Barcelona atashinda kwa kishindo dhidi ya PSG UEFA 2nd leg round 16

Jana nilivomuona masherano kwenye line up nikajua hawa mafala hawachomoki,Masherano ni muhuni ndani ya kambi ya wastaarabu.yule jamaa bora afe uwanjani ijulikane alikua anapambania legacy
Wale akina Sergio Roberto na Umtiti walikuwa wanaogopa Kadi Game ya kwanza, wajinga sana wale watoto. Mascherano angekuwepo wasingepata zile Goli 4.
 
Masherano ni mla ndumu wa argentina
 
Kujidondosha kwa suarez ni moja ya mbinu katika mchezo na yeye si wa kwanza kufanya hivyo, wapo wengi wameshafanya hivyo. ila unasahau kwamba barca kanyimwa penalty mbili za halali.
Alafu pia goli la mwisho sio Offside, naomba wewe ndio cheki vizuri na kama unabisha sitoshindwa kukuletea video ( Thanks to Intel )
Thank to Intel kwa upande wa Barca tu eenh na upande wa PSG vipi? acha Siasa unabania wenzio ukibanwa wewe unasema unaletewa vurugu hell no
 
Unajua kwamba Madrid kwa PSG anaaga mashindano?
Mkuu soma upya Bandiko lako au uliedit... PSG ipi tena maana Real wa kukutana nae robo fainal atamfahamu Tarehe 17 March na PSG keshatoka can look forward to your life not backwards pls
 
Acha roho ya kimasikini mkuu ,mlima aliovuka Barca sio wakuombea ukutane na team yako atakuua kwa goal nyingi sana wana hasira mno bado
Labda refa awe huyo huyo wao na bado tutawapiga na Zidane anaweza panga wachezaji saba uwanjani na Barca wasishinde 😀
 
Kama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Mkuu, bila shaka uko unaelekea Congo..kama una rangi kama ya rais wetu basi halahala usije ukarejea nyumbani Tanzania ukiwa na rangi ya mstaafu JK
 
Unachekesha wewe mtabakia na roho mbaya hivyo tunawatesa kwa vikombe
 
Mkuu soma upya Bandiko lako au uliedit... PSG ipi tena maana Real wa kukutana nae robo fainal atamfahamu Tarehe 17 March na PSG keshatoka can look forward to your life not backwards pls
Nilimaanisha kwamba endapo hatua hii ya mtoano Real Madrid angepewa PSG, Real Madrid angeaga mashindano.
 
Mkuu Dunia hii ya sasa bado unatumia ange,inge,Unge aaah acha hizo
 
Labda refa awe huyo huyo wao na bado tutawapiga na Zidane anaweza panga wachezaji saba uwanjani na Barca wasishinde 😀
Uzuri mpira hauchezwi hapa jamii forum
 
Mkuu ushahamia Congo DRC
au bado upo TZ. Hah ha ha
hiyo ndio Barca timu bora kuwahi kutokea.
Kama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
 
Mkuu, bila shaka uko unaelekea Congo..kama una rangi kama ya rais wetu basi halahala usije ukarejea nyumbani Tanzania ukiwa na rangi ya mstaafu JK
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom