Nafsi huru
Senior Member
- Sep 25, 2015
- 132
- 133
ndio unakaribia Congo Mkuu auKama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio unakaribia Congo Mkuu auKama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Wale akina Sergio Roberto na Umtiti walikuwa wanaogopa Kadi Game ya kwanza, wajinga sana wale watoto. Mascherano angekuwepo wasingepata zile Goli 4.Jana nilivomuona masherano kwenye line up nikajua hawa mafala hawachomoki,Masherano ni muhuni ndani ya kambi ya wastaarabu.yule jamaa bora afe uwanjani ijulikane alikua anapambania legacy
Mkuu upo Bukavu?Kama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Ushahamia mkuuKama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
mi sijaona mpira wowote waliocheza barca Zaidi ya kubebwa na refa.....
Masherano ni mla ndumu wa argentinaWale akina Sergio Roberto na Umtiti walikuwa wanaogopa Kadi Game ya kwanza, wajinga sana wale watoto. Mascherano angekuwepo wasingepata zile Goli 4.
Thank to Intel kwa upande wa Barca tu eenh na upande wa PSG vipi? acha Siasa unabania wenzio ukibanwa wewe unasema unaletewa vurugu hell noKujidondosha kwa suarez ni moja ya mbinu katika mchezo na yeye si wa kwanza kufanya hivyo, wapo wengi wameshafanya hivyo. ila unasahau kwamba barca kanyimwa penalty mbili za halali.
Alafu pia goli la mwisho sio Offside, naomba wewe ndio cheki vizuri na kama unabisha sitoshindwa kukuletea video ( Thanks to Intel )
Mkuu soma upya Bandiko lako au uliedit... PSG ipi tena maana Real wa kukutana nae robo fainal atamfahamu Tarehe 17 March na PSG keshatoka can look forward to your life not backwards plsUnajua kwamba Madrid kwa PSG anaaga mashindano?
Labda refa awe huyo huyo wao na bado tutawapiga na Zidane anaweza panga wachezaji saba uwanjani na Barca wasishinde 😀Acha roho ya kimasikini mkuu ,mlima aliovuka Barca sio wakuombea ukutane na team yako atakuua kwa goal nyingi sana wana hasira mno bado
Mkuu, bila shaka uko unaelekea Congo..kama una rangi kama ya rais wetu basi halahala usije ukarejea nyumbani Tanzania ukiwa na rangi ya mstaafu JKKama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Nilimaanisha kwamba endapo hatua hii ya mtoano Real Madrid angepewa PSG, Real Madrid angeaga mashindano.Mkuu soma upya Bandiko lako au uliedit... PSG ipi tena maana Real wa kukutana nae robo fainal atamfahamu Tarehe 17 March na PSG keshatoka can look forward to your life not backwards pls
Mkuu Dunia hii ya sasa bado unatumia ange,inge,Unge aaah acha hizoNilimaanisha kwamba endapo hatua hii ya mtoano Real Madrid angepewa PSG, Real Madrid angeaga mashindano.
Uzuri mpira hauchezwi hapa jamii forumLabda refa awe huyo huyo wao na bado tutawapiga na Zidane anaweza panga wachezaji saba uwanjani na Barca wasishinde 😀
Kama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Bado uko Tz. Au ulishahamia?Kama mna dhani Celta vigo, na Sporting Gijon ziko sawa na PSG endeleeni.
Barcelona akipita nahamia Congo DRC
Bado upo, au ulishajiuaHahaha nimekumbuka mechi ya Ngaya vs Yanga. Mnadhani PSG in Arsenal iliyopigwa goli 10 mechi mbili? Barca ikipita mods nipigeni ban ya mwaka.
[emoji83] [emoji83]barca wakitinga robo fainali nakunywa sumu leo leo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mkuu, bila shaka uko unaelekea Congo..kama una rangi kama ya rais wetu basi halahala usije ukarejea nyumbani Tanzania ukiwa na rangi ya mstaafu JK