Kiwanja hakijui huyu wa nyumbani au ugenini.baka anaweza pigwa nje ndani[emoji23][emoji23][emoji23] sawa sijui...ehee embu niambie hapa unatumia philosophy ipi ama barca mtatumia philosophy ipi kuwafunga PSG ya akina matuidi akina veratti magoli matano KWA SIFURI [emoji23][emoji23][emoji23] acheni ushabiki
Hata waspopata tyarIlikuwa karamu ya Magoli.
Barca hakupata hata Moja la ugenini.
PSG wakibahatika kupata Goli Moja CAMP NOU ni zawadi tosha
Hata psg wabak 8 uwanjanHaya matokeo yamenishangaza sana, sikutegemea kabisa wale Wafaransa wavune kapu la magoli kiasi hiki. Je, BARCA wana uwezo wa kuwapiga 5-0!? Uwezo huo wanao lakini je wataweza!? That's why we play/watch this very beautiful game. Tutege masikio na macho yetu.
Maumivu ya kichwa huanza polepole na kama wasipo muona daktari hali itazidi kuwa mbaya.Tusishangae kuona hii timu inafumuliwa msimu ujao na Messi kuuzwa lakini nani atamtaka messi wa 2017!? Labda aende China.
Duh! kama umewaalika vile watakuja ndugu kukujibu .Barcelona kaaga tayari, PSG siyo arsenal
Acha waje tuu mkuuDuh! kama umewaalika vile watakuja ndugu kukujibu .