Barcelona kafia PSG

Barcelona kafia PSG

84b0715c801976c7c154e8b12cfcb83a.jpg
b4502ce40976ca77de094cfaf1b1ce24.jpg
789d34aba3304842d945f646c37fe2f8.jpg
123f6af2131f9dcbb8b081a5bf6863a6.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa sijui...ehee embu niambie hapa unatumia philosophy ipi ama barca mtatumia philosophy ipi kuwafunga PSG ya akina matuidi akina veratti magoli matano KWA SIFURI [emoji23][emoji23][emoji23] acheni ushabiki
Kiwanja hakijui huyu wa nyumbani au ugenini.baka anaweza pigwa nje ndani
 
Ilikuwa karamu ya Magoli.

Barca hakupata hata Moja la ugenini.

PSG wakibahatika kupata Goli Moja CAMP NOU ni zawadi tosha
Hata waspopata tyar
Wamesha qualify
 
Haya matokeo yamenishangaza sana, sikutegemea kabisa wale Wafaransa wavune kapu la magoli kiasi hiki. Je, BARCA wana uwezo wa kuwapiga 5-0!? Uwezo huo wanao lakini je wataweza!? That's why we play/watch this very beautiful game. Tutege masikio na macho yetu.
Hata psg wabak 8 uwanjan
Bdo hawatafungwa 5:0

Wakifungwa sana n 2
 
Tusishangae kuona hii timu inafumuliwa msimu ujao na Messi kuuzwa lakini nani atamtaka messi wa 2017!? Labda aende China.
Maumivu ya kichwa huanza polepole na kama wasipo muona daktari hali itazidi kuwa mbaya.
Kwanza sasa hivi timu nyingi huko huko Spain zinawadindishia na wanashinda kwa manati au sare hii nayo kwa wachezaji wa barca inawasumbua sana na tatizo mfumo wao umesimikwa penye kiungo na viungo mahiri ndio hao kina xavi ambae mrithi wake hajapatikana iniesta maji ya jioni kule mbele inabidi tu wakimbie kimbie wapishi wa biriani hawapo labda ugali na ngisi hilo litawatesa sana na hakuna kitu kigumu kama kujenga timu mpya.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom