Neema wa nini?
Bado sijauona uzuri wake huwa hayuko seriousNeymar yupo vizuri Kwa barca itasaidia sana
Hata Auba amemzidi Japo ni star mkubwa nimefurah hata alivyopokonywa u captain national teamNi kama Ibrahim Ajib hivi.....
Captain kapewa nani?Hata Auba amemzidi Japo ni star mkubwa nimefurah hata alivyopokonywa u captain national team
Dani AlvesCaptain kapewa nani?
Daniel AlvesCaptain kapewa nani?
Neymar yupo vizuri Kwa barca itasaidia sana
AfadhaliDaniel Alves
. Dogo alipewa majukumu mazito asingemudu kwa sasa labda baadae.Hata Auba amemzidi Japo ni star mkubwa nimefurah hata alivyopokonywa u captain national team