Barcelona Kumrudisha Neymar.....

Barcelona Kumrudisha Neymar.....

MySoka

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
209
Reaction score
297
Duru kutoka Ulaya zinadokeza kuwa Barca wanafanya mazungumzo na klabu ya PSG kuhudu mpango wa kumrejesha Neymar.

Katika dili hilo, huenda Barcelona wakamtoa sadaka Kiungo Phillipe Coutinho au Ousmane Dembele!
 
Back
Top Bottom