Barcelona, kwanini Coutinho wakati kuna watu bora zaidi yake kama Hazard?

Barcelona, kwanini Coutinho wakati kuna watu bora zaidi yake kama Hazard?

Dybala angefit pale Mkuu. But Messi ndie mwenye maamuzi yote.
Screenshot_2018-01-02-15-34-42.png

Tututututumimimimiaaaaaaaa akili!!!!!!
 
Wabongo katika ubora wetu wa ujuaji ' u much know'.....
 
Back
Top Bottom