Barcelona ndiyo Mabingwa Wa Ligi kuu ya Hispania 2024/2025

Barcelona ndiyo Mabingwa Wa Ligi kuu ya Hispania 2024/2025

Dalton Elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
968
Reaction score
1,978
#LaLigaEASports Barcelona ndiyo mabingwa qa ligi kuu ya Hispania 2024/25. Hili ni taji lao 28.

FT': Espanyol 0-2 Barcelona
 
Madrid msimu huu vipi? Kwamba hajaambulia hata taji la mbuzi!
 
Lamine yamal totobad. at this age Leo Messi hakuweza kuyafanya haya. japo tunampomtaja Messi adabu izingatiwe
 
Back
Top Bottom