Game bado hii Lazima barca apite
Tatizo ni kumalizia ugenini.Mbeleko hakunaMpira na uishe tu. Maana Barca walikuwa wanasema wapunzani wao ni Man city na PSG. Sasa ngoja awafuate
Andunjeeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naomba matokeo ya mwisho, nipo huku madongo kuinama...Game bado hii Lazima barca apite
Subirini hizo tambo Mungu hapendi.Iombeeni timu.Liver anabeba uefa...hakuna timu ya kumfunga liver katika zilizobaki