Barcelona nje kwa mianzi mitatu

Barcelona nje kwa mianzi mitatu

barcelona bila mbeleko hawezi kutoboa hata siku moja. shenzi kabisa camp nou walitunyima penart ya buree kabisa dhidi ya chelsea
 
Umwamba wa Messi ulipaswa kuonekana jana.


Hakuna zaidi ya CR7.
 
Niliwahi kusema humu wana bernabeu tutangulie kyiv tena sit za mbele, ndoo tunainua hii kwa Mara ya tatu,anayebisha aje hapa
 
Hakuna shabiki wa messi anayeongea leo, wapo kimyaaa kama wamelowekwa kwenye maji
Jana kama messi asingekuwa majeruhi as Roma alikuwa anakufa mapema.tumuombee king messi apone majeraha kabla ya kombe la dunia
 
Wadhamini wa Ujumbe huu ni Radja Nainggolan. De rosi na Dzeko. Asante sana..
 
Back
Top Bottom