Mkuu humu siki hizi kuna mataahira mengiHapa itakuwa nimeingia jukwaa la mirembe
una akili sana wewe. una degree ngapi mkuuTatizo ni kumalizia ugenini.Mbeleko hakuna
Hakuna shabiki wa messi anayeongea leo, wapo kimyaaa kama wamelowekwa kwenye majiUmwamba wa Messi ulipaswa kuonekana jana.
Hakuna zaidi ya CR7.
Jana kama messi asingekuwa majeruhi as Roma alikuwa anakufa mapema.tumuombee king messi apone majeraha kabla ya kombe la duniaHakuna shabiki wa messi anayeongea leo, wapo kimyaaa kama wamelowekwa kwenye maji
Hivo hakucheza kumbe?Jana kama messi asingekuwa majeruhi as Roma alikuwa anakufa mapema.tumuombee king messi apone majeraha kabla ya kombe la dunia
Unajua king messi ni binadamu wa sayari nyingine,ngoja arudi duniani uone atakavyowachakaza hao watalianoHivo hakucheza kumbe?
Hahaha alicheza.ila alifichwa jamaa kawakejeli mashabiki wa miss.Hivo hakucheza kumbe?