Barcelona sasa hivi ni moto wa kuotea mbali

Barcelona sasa hivi ni moto wa kuotea mbali

Sijalichek chama langu muda mrefu saana toka tutolewe UEFA. Kama kweli gari limewaka nambieni nirudi kwenye king'amuzi.
Saiz iko fire barcelona ya guardiola naiona kwa mbal
 
Xavi kafanya kila mchezaji awe aggressive kuazia kukaba mpaka kushambulia, kila utengenezaji wa goal unaona kabisa ni programmed.imagine sasa hivi una talents kama ,pedri ,de jong ,gavi ,na nico kwenye midfield ,hasa huyu Pedri mmh[emoji119]. Xavi naona anatengeza barca tishio sana huko mbele!.
Ni hatar
 
De Jong namkubali mno, ngoja game yoyote ijayo ya Barca niichek.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmeanza man u alishinda mfululizo mkaanza maneno yenu Barcelona bado anahitaji mda mnaangalia mpira lakini au mnaangalia tu matokeo live score.
 
Mmeanza man u alishinda mfululizo mkaanza maneno yenu Barcelona bado anahitaji mda mnaangalia mpira lakini au mnaangalia tu matokeo live score.
Man u alishinda mfululizo lini mkuu? Barca sasa hivi kilichobaki ni kuimarisha kikosi tu mfano mabeki! Xavi ameshaleta ari na wining mentality kwenye team!.Barca ilibezwa sana! Kuna utofauti mkubwa sana alivyokuwa koeman na sasa master class xavi! Imagine Atletico valencia bilbao ,napoli wote wakufa 4! Huamini nini tena? Maana mpak sas barca ana uhakika wa kumaliza wa 3 au 2 kwenye ligi.
 
Back
Top Bottom