Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni jambo la wakati tu.Kwa barcelona ya saiz na mipango na maufundi ambayo mkufunzi wa tikitak,, Xavi aliyoyaleta kwenye kikosi, naiona barcelona ya Guardiola inakuja
Visca el barcaNi jambo la wakati tu.
Barca kurudi kwenye ubora.
Visca el barca.
Saiz iko fire barcelona ya guardiola naiona kwa mbalSijalichek chama langu muda mrefu saana toka tutolewe UEFA. Kama kweli gari limewaka nambieni nirudi kwenye king'amuzi.
Ni hatarXavi kafanya kila mchezaji awe aggressive kuazia kukaba mpaka kushambulia, kila utengenezaji wa goal unaona kabisa ni programmed.imagine sasa hivi una talents kama ,pedri ,de jong ,gavi ,na nico kwenye midfield ,hasa huyu Pedri mmh[emoji119]. Xavi naona anatengeza barca tishio sana huko mbele!.
Game inarudiwa lini?Ule mpira walioupiga dhidi ya napoli acha kabisaaaaa. Bonge la burudani
De Jong namkubali mno, ngoja game yoyote ijayo ya Barca niichek.Xavi kafanya kila mchezaji awe aggressive kuazia kukaba mpaka kushambulia, kila utengenezaji wa goal unaona kabisa ni programmed.imagine sasa hivi una talents kama ,pedri ,de jong ,gavi ,na nico kwenye midfield ,hasa huyu Pedri mmh[emoji119]. Xavi naona anatengeza barca tishio sana huko mbele!.
Huyo sasa hiv anapewa jukumu la free role! hatar tupu!. Busi akitoka anacheza CDM ,huku gavi kule pedri! [emoji119]
Kurudiwa kivipi tena..ile ndio ilikuwa second leg ilipigwa in naples at the maradonna stadium. Acha kabisa barca watamu balaaa...pass zinagongwa kama zile alizopigiwa kibabu fergie mpaka ataka anatetemeka
Man u alishinda mfululizo lini mkuu? Barca sasa hivi kilichobaki ni kuimarisha kikosi tu mfano mabeki! Xavi ameshaleta ari na wining mentality kwenye team!.Barca ilibezwa sana! Kuna utofauti mkubwa sana alivyokuwa koeman na sasa master class xavi! Imagine Atletico valencia bilbao ,napoli wote wakufa 4! Huamini nini tena? Maana mpak sas barca ana uhakika wa kumaliza wa 3 au 2 kwenye ligi.Mmeanza man u alishinda mfululizo mkaanza maneno yenu Barcelona bado anahitaji mda mnaangalia mpira lakini au mnaangalia tu matokeo live score.