Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
HujielewiKumbe na BONYOKWA culers wapo. Eti barca tunakwama wapi?????
Papa PEREZ nahisi ndo anawahujumu kuna double agents wa madridsta mtakuwa nao kama directors wenu. Kiasi kwamba kila mbinu safi mbinu chafu zinawekwa wazi.
Je watakua na uwezoBora wachukue damuchanga na kikubwa zaidi wasifikirie VIKOMBE mapemaa misimu mitatu ya MWANZO .
Lol........ Hivi UCL sa iv mtacheza.Hujielewi
Duuh aiseeSababu pekee Arsenal hatujamchukua Nico na Zubimendi ni kwakua wanasema wanataka kwenda Barcelona. Means mchezaji angekua hana mapenzi na timu angekua kanyakuliwa kwingine
Mess enzi yake ishapitatimu ilikua ya mess mrudisheni mtashinda
Yaan Barcelona saiz tunapata mchezaji mzuri kwa mapenzi yake sio pesa tena. The same na kwa Gundogan, Joan felix na LewandoskSababu pekee Arsenal hatujamchukua Nico na Zubimendi ni kwakua wanasema wanataka kwenda Barcelona. Means mchezaji angekua hana mapenzi na timu angekua kanyakuliwa kwingine
Inauma sana aisee yaani hata kesho yetu hatuioniJibu unalo mkuu, Barca tuna hali mbaya sana kiuchumi skuhizi. Wachezaji kama Gundogan, Felix na Lewa unaona kabisa walikuja kwa mapenzi yao na Barca. Lakn tukiambiwa mchezaji anauzwa Euro 50M tunaanza kutia huruma, Ndomaana tunakimbilia Academy yetu coz NO fucki g way. Baadhi ya watu wanadai tulianza kutumba baada ya kumuuza Neymar na kushindwa kupata replacement yake. Maana tukaanza kununua Expensive Flops kina Dembele Raphinha n.k
Daah ni maumivu aiseeTatizo ni pesa mkuu inabidi kubalance kile unachoingiza na unachotumia viwiane ndio maana utaona wanahangaika katika sajili zao, na kuna kipindi baadhi ya wachezaji walilazimika kupunguza mishahara ili kubalance matumizi.
Sema tutaanza kuwaka mda si mrefu, yajayo yanafurahisha. Lakn ndohvo ni project ya mda mrefu sio sasa.Inauma sana aisee yaani hata kesho yetu hatuioni
Sizani maana kama ndio mchezo wenyewe huu Kila msimu kupandisha watoto tupu aisee ni hatari maana hata hao watoto wengine nao lazima watakua hamna kitu mbeleniSema tutaanza kuwaka mda si mrefu, yajayo yanafurahisha. Lakn ndohvo ni project ya mda mrefu sio sasa.
Yeah, mna historia nzuri kidunia. Manunuzi ya wakina Coutinho, Dembele ili kutaka kwenda msuli kwa msuli na Madrid, mshahara wa kumtuliza Messi na ufisadi wa Rais aliyepita yamechangia kiuchumi kushuka.Yaan Barcelona saiz tunapata mchezaji mzuri kwa mapenzi yake sio pesa tena. The same na kwa Gundogan, Joan felix na Lewandosk