Barcelona Vs AC Milan a.k.a Rosonelli

Ac milan anachezea goli 4-0..ligi ya italia hakuna kitu siku hizi..ac milan kwa england wana kiwango kama cha wigan.
 
Ac milan anachezea goli 4-0..ligi ya italia hakuna kitu siku hizi..ac milan kwa england wana kiwango kama cha wigan.
....

kwa kuwa una uhuru wa kuandika ushuzi utakavyo basi ni heri yako...

Ila kwa mtu anayejuwa soka hao Manchester UTD wako huwezi kuwapandisha ndege moja na AC Milan
 
Kawaulize shemeji zako Man U watakupa habarin ya Barca.
 
....

kwa kuwa una uhuru wa kuandika ushuzi utakavyo basi ni heri yako...

Ila kwa mtu anayejuwa soka hao Manchester UTD wako huwezi kuwapandisha ndege moja na AC Milan

Stop living in the past kaka!!! Zungumzia kiwango cha sasa. I hope baada ya mechi leo tutakuwa wote hapa.
 
ulikuwa bado mdogo labda...
Hiyo Barca iliyobakwa 4-0 ilikuwa na watu kama Romalio, Eusebio na Hristo Stoichkov...

Achana na ushuzi huu unaouona wewe bora ila kwa wanaojuwa hii ni wazi kuwa Barca anabebwa na marefa live live...

Kama unaamini hii basi waweza amini chochote
 
ulikuwa bado mdogo labda...
Hiyo Barca iliyobakwa 4-0 ilikuwa na watu kama Romalio, Eusebio na Hristo Stoichkov...

Achana na ushuzi huu unaouona wewe bora ila kwa wanaojuwa hii ni wazi kuwa Barca anabebwa na marefa live live...

Du!! Ya kweli haya?
 
Kawaulize shemeji zako Man U watakupa habarin ya Barca.
....

narudia kukwambIa Barca alishabakwa 4-0 na huyo kocha wao Guardiola akiwa uwanjani.

So usiifananishe Milan na wasichana kama hao uliowataja.

Naomba kuwasilisha hoja
 
Stop living in the past kaka!!! Zungumzia kiwango cha sasa. I hope baada ya mechi leo tutakuwa wote hapa.
...

Nipo, so sema unachotaka kukisema.
Mechi imekwisha kwa matokeo ya magoli mawili kwa mawili na kukamilisha ule usemi ''dobi wa kweli utamjuwa siku akipewa nguo nyeupe''.

Hawa Barca watawafunga watoto wenzao, lakini sio wazee Sugu kama Milan.
 
dah unajua baada ya Real madrid timu inayofuata kwa kutamba ulaya ni AC Milan mabingwa mara 7 kombe la ulaya. Barcelona hawapo kwenye timu zilizochukua mara nyingi kombe la Ulaya wamezidiwa na Liverpool. AC Milan wanauwezo wa kuifunga barcelona. sidhani mchezo wanaocheza barcelona utaendelea kutamba kwa muda mrefu. next stop is san ciro! karibuni sana ingawa nyumbani kwangu ni pale torino inapopatikana JUVE!
 
.....

Teh teh mi nakwambia Chimungulu umenena vyema kabisa.
Kuna wakurupukaji hawaijui Milan na wako kwa ajili ya kuibeza na kusifia vitimu vyao vIilivyokuja na DSTV.
Wanashindwa kabisa kutambua kuwa Soka ni mchezo unaokwenda kwa historia zaidi na si kukurupuka tu kama watu wa mataifa.

Milan bila Ibra na Robinho, bila Flamini na Gatusso wameweza kupata patulo Nou Camp kwa Barca ambao wenyewe walikuwa full...

Ni punguwani tu ndie anayeweza kudhani Barca watatawala milele.

Forza Milan...
Sempre Milan
 
Aaaaaaaah gang chomba naona chama limekamilika sio ngoja tuone hapo milan itakuwa vp maana umeibeza si kitoto MAN UTD na unajua mziki uko vp?
Hongera sana tunangoja second leg...............
 
...

dawa ya hivi vitoto wanayo wataliano.
Inter walivipiga na kuvitoa misimu miwili ilopita, na kisha Milan wamepata patulo wakiwa na majeruhi wa kumwaga...

Jiulize kama Ibracadabra angekuwa pale mbele huku akikaa na mipira kusubiri suporter ya wenzake, wakati huo huo Robinho akivitikisa vibeki vyao kwa chenga na kisha kuvitoa baruti kila upande, then Flamini na Gatusso wakikaba mwilini na kutibua mipango ya Barca yoote huku wakiwafokea na kuwabughuzi hakika Barca wangekula za uso palepale kwao...
 
kwa mujibu wa Goal.com Alesandro Nesta yule beki bora wa kati tangu alipoondoka Franco Baresi amechaguliwa kuwa Man of the Match kwa kupata maksi 8.5.

Flop of the match amechaguliwa Sergio Busquets wa Barca.

Forza Milan.
Sempre Milan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…