Ndugu zangu king'amuzi gani naweza kuona mechi hii??maaana dstv huwa hawaonyeshi mechi za kombe la mfalme
Msaada wenu tafadhali
Beinsports.
Bonge la match,madrid alichemsha tuone kama barcelona atafua dafu kwa athletico madrid
Fox Sports ndani ya StarTimesNdugu zangu king'amuzi gani naweza kuona mechi hii??maaana dstv huwa hawaonyeshi mechi za kombe la mfalme
Msaada wenu tafadhali
Daaah bonge la mechi,A Madrid piga hao wa kubebwa...
Wew ni lazima uwe man wew
Mkuu kwani MAN U ni tawi la madrid?
Wafyatua gobole utawajua tu...Wew ni lazima uwe man wew
Ndugu zangu king'amuzi gani naweza kuona mechi hii??maaana dstv huwa hawaonyeshi mechi za kombe la mfalme
Msaada wenu tafadhali