Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Daaah bonge la mechi,A Madrid piga hao wa kubebwa...
Katika mechi 13 za mwisho walizocheza Barca na A.Madrid, ni mechi moja tu ndio A.Madrid kashinda...
Mechi 7 Barca kamfunga A.Madrid na nyingine 5 wametoka droo...