Barcelona vs man city - uefa champions 12/3/2014

Barcelona vs man city - uefa champions 12/3/2014

Haya haya wapenzi wa man city karibuni tena ktk kipindi hiki cha lala salama mshuhudie mnavopigwa goli 1 tu na Mesi kisha mnarudi zenu etihad kupumzika, karibuni sana

maneno yangu yamethibitika mnamo dakika ya 65, city bye bye
 
Marefa wa UEFA bana, ina maana haikuwa penati ile? Robben kapewa penati nyepesi jana afu hii Pique dhahiri kafanya faulo kwa Dzeko ndani ya 18 refa anapeta... Halafu kina Wenger wakisema watu wanakuja juu!
 
Tukiweka ushabiki pembeni, refa wa leo ameharibu mchezo kabisa kwa kuelemea upande mmoja
 
Hakuna Offside pale, Serg Roberto alikuwa usawa na Kompany.
 
Mbona limefungwa goli la offside mpo kimya au ndo mnataka refs achezeshe hivyo1?
 
Hii corner vip wadau mbona barca wanalalamika?

Sent from nokia Jeneza
 
Offside goal hilo city hamsemi ,,,,

"From tz with true luv"
 
Back
Top Bottom