AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 953
Lescott... Kuna muda nilikuwa namuona ni beki mzuri, loh. Angekula muwa mara moja, mbili Messi asingemwona uchochoro.
Haya haya wapenzi wa man city karibuni tena ktk kipindi hiki cha lala salama mshuhudie mnavopigwa goli 1 tu na Mesi kisha mnarudi zenu etihad kupumzika, karibuni sana
Lescott ni mzigo
Marefa wa UEFA bana, ina maana haikuwa penati ile? Robben kapewa penati nyepesi jana afu hii Pique dhahiri kafanya faulo kwa Dzeko ndani ya 18 refa anapeta... Halafu kina Wenger wakisema watu wanakuja juu!
Barca go go go go gooooo! England mzima na wafuasi wao hawakupendi
city move to quarter final and face psg..
pole sana mkuu
messsssssss k1, man city kazen 3 bila hyo
Marefa wameshindwa kazi leo. Off side imekuwa goli wtf!